Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa najua humu ndani wapo matabibu wanaweza kunisaidia leo nilifanyiwa sperm analysis nikapata majibu yafuatayo.
Sperm mophology imeonekana baadhi ya shahawa kwa kiwango kukubwa zimeonekana zina umbo ambalo si sahihi hazina mkia wala kichwa.
Spem viscocity haipo sawa hazivutiki, sperm color ni yellow dk kanambia kwa matokeo hayo ni ngumu kumpa mwanamke mimba .
Kanambia nirudu kesho ula kabla sijarudi.
Naomba JF doctor mniambie je, naweza kurudisha sperm quality yangu namimi nipate family au ndo siwezi tena.
Msaads tafaadhali.
Kweli kwa Mungu yote yawezekana ushauri wako mzuri sana.Aende kwa aliye muumba akaombe tu.Jana tu yenyewe kuna mtu kapata muujiza wa ajabu mpk mwenyewe nikahisi shida zangu zote kwisha kha!!!!!Huyu Mungu kweli anaishi.Mkuu, mimi nafikiri Daktari kwa uzoefu wake anaweza kujua ni kitu gani kinasababisha mophology ya sperms zako zionekane ndio sivyo, kwa nchi za wenzetu walioendelea wangeweza kuchagua sperms ambazo zinaonekana mophology zako ziko sahihi/balabala i.e zenye kichwa na mkia wakazi changanya na yai la mkeo kwenye test tube ili fertilization ifanyike kwenye test tube katika mazingira sahihi, wakisha hakikisha kwamba hilo limefanyika bila matatizo litakalo fuata ni kuhamishia kiumbe kwenye tumbo la uzazi la mkeo.
Usije ukadanganyika kwamba lishe ya aina fulani inaweza kurekebisha mambo, hilo mimi siamini - tatizo lipo kwenze korodani zako hazitengenezi vizuri sperms zako, labda unaweka laptop kwenye mapaja yako kwa muda mrefu (utani-lakini kuna kaukweli ndani yake).
Hilo likishindikana nenda Nigeria kamuone Nabii Joshua akuombee kwa Mungu, mimi ni mtu hasiye amani vitu kirahisi rahisi lakini jamaa huyu namkubali sana, ana wito husio wa kawaida, hata wanawake walio ondolewa fallopian tubes zao zote ana uwezo wa kuwaombea wakaweza kupata mimba tena! Ni ajabu na kweli.
Sio madaktari wote wanaoweza kukupa suluhu ya tatizo lako,hayajakukuta ya madaktari wa kitanzania. Kuna daktari alishawahi kuniambia nina mayai viza nisahau habari ya kuzaa. Lakini nilikutana na marafiki walionipa ushauri wa kula healthy na mazoezi. Baada ya miezi saba nilipata mimba na nikazaa. Mi namshauri huyo kaka abadilishe kabisa mfumo wake wa chakula. Acha sukari,pombe,kama unatumia sigara acha na ule sana mboga za majani na protein. Pia fanya mazoezi na kunywa sana maji. Kwa maelezo zaidi njoo inboboKuja huku umekurupuka matokeo yake unadhihakiwa tu hadi na watoto wa shule! Subiri urudi kwa daktari wako atakupa matibabu na ushauri husika wacha kupanick
Kweli kwa Mungu yote yawezekana ushauri wako mzuri sana.Aende kwa aliye muumba akaombe tu.Jana tu yenyewe kuna mtu kapata muujiza wa ajabu mpk mwenyewe nikahisi shida zangu zote kwisha kha!!!!!Huyu Mungu kweli anaishi.
Kama vipi jiue tu mkuu, halafu kaue na wazazi wako ili idadi ipungue kwenye ukoo wenu, labda tuanzie hapo
Hii ni habari njema kwa nchi yetu, kwa kweli tatizo la ongezeko la watu ni changamoto kubwa sana inayotukabili, hivyo angalau wewe hautaongeza mzigo kwenye Uchumi wetu mdogo tuna mapungufu ya kila kitu madarasa hayatoshi, madawati hayatoshi, daladala hakuna hata pa kukanyaga, viwanja vinajaa, hivyo mimi kwangu hii ni Habari njema kwa nchi yetu!
Thank you ccta ubarkiwePole sana kaka. Mungu aliyeumba Mbingu na Dunia hujawahi kushindwa na Jambo lolote lile. Changamoto unayopitia ni kubwa na Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kukuvusha hapo. Ningependa kukushauri kuwa nunua kingamuzi chenye Emmanuel TV na uwe una angalia namna ambavyo watu wengine wenye matatizo ya aina hiyo wanatoa shuhuda kwa namna ya ajabu kabisa Mungu alivyowaponya na tatizo kama hilo na sasa wana watoto tena wenye afya tele. Imani yako itazidi kuongezeka kila siku.....Nawe Mungu atakuhudumia siku moja sawa sawa na kiwango cha Imani yako. Usife moyo....take courage....Fanyia Kazi na ushauri huu pia. Barikiwa
Thank youJaribu unga wa mdalasini na asali ni maarufu sana kurekebisha ishu ya sperma Bro, lengo tujue kwanza ni lifestyle yako ndo tatizo au ni disable ndo tatizo
Akili za kipumbavu na ukosefu wa hekima na ustaarabu zero, mbona mnageuza jf kuwa kijiwe cha ******!!? Mtu anatatizo wewe unaleta komenti zisizo na maana kibinadam, huna empathy wala sympathy, ur merely a wild hog!!