Ushauri: Nimefungwa akili, natamani kutoka kimaisha

Nasikiliza ngoma ya country boy macho mbeleee,,

Kuna mahali anasema sion mbele,sioni mbelee washanitoboa sasa...


Dada yngu labda swali rahis tu kabla ya kukushauri haswa hua unakwama wapi zaid? Maana kam kodi ya pango ulishalipa ukakwama kilichokukwamisha zaid ni kipi?

Pili umesema kuna bussines unaifuatilia vikwazo kibao,,inaonyesha umeshaikatia tamaa,,,vikwazo ni vipi zaid dada yangu?? Mwsho kuhusu shamba kwa dar itakuwia vigumu labda upate nje ya dar naiman inawezekana zaid na kupata kwa wepes zaid kuliko hapa town... Nmekuuliza vikwazo ili tujaribu kukupa ushauri kuhusu kuviepuka vikwazo na wewe kufanikiwa,,na nakuuliza sababu nina uzoefu na biashara....

Namalizia kusikiliza nyimbo ya bella na banana zoro USILIE..
 
ahaaa ushauri wako una vichambo balaa anyway nashukuru yaani issue ipo hivi nilitaka kufungua biashara kuna mtu tulikutana tu kama rafiki kumbe amechukua wazo langu akaenda kufungua pale pale mimi nilikuwa namalizia kuset mtaji.so haiwezekaniki tena kufungua pale . hata ule mtaji nimeshakula tena hadi nianze tena kujipanga na hii biashara ingine natafuta eneo kodi ni kubwa pia kuseti mtaji ni mkubwa zaidi
 
"sina raha kabisa alafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu,hvi wenzang mlifanikiwaje"ayoo maneno ulimaanisha nn.?
nina kadi kumi za mchango wa harusi
 
Miss natafuta najua umeweka huu Uzi kwa faida ya tulio wengi japo kila mtu atafikiri anavyo fikiri

Kama unaweza kijipanga nakukaribisha mbeya kuna biashara nyingi hasa za kupeleka mikoa mingine kuna biashara ya mazao na ukipeleka kwa japo dar huku unakuja na biashara nyingine kama nguo za kike au za watoto
 
Being rich or successfull in business,spritual nourishment or lack of it is not a factor,

it is a process ,one when you follow you get rich
 
asante mkuu ila mbeya siji kabisa mkuu nisamehe bora niende somalia
 
Usifanye biashara kwa sababu fulani anafanya au umeambiwa inalipa. Kaa chini ujitathmini ni kipi unaweza kukifanya kwa urahisi kuzingatia uzoefu, wito na fursa unazoziona. Ukishaona unachotaka kufanya ndio uombe ushauri.
 
Poleee!
Kuhusu shamba la kukodi Dar, muone mzee maarufu kutoka Msoga....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
nina kadi kumi za mchango wa harusi
Ndo maan nmekwambia jarbu kubadli kampan yko..kam na wewe ni mtu wa maharusi na sherehe hizo bas hizo ndo kampani zako maan apo kla week upo kweny vikao vya sherehe..huwez kumridhsha kla binadamu dada,fanya yako kam kweli unatak ufankiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…