Hivi sio wewe ulisema huwa unaenda kulipia ada feza mtoto wa mchepuko wako?
Sasa kama huyu mke halali wa huyo unayemuita mchepuko wako anasikitika siajabu hata huduma nyumbani zimepungua kisa unahudumiwa wewe!
Sasa mafanikio yatatoka wapi?
Samahani lakini kama nitakuwa nimekukwaza au nimekufananisha sio wewe!