Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu.
Kuna time naamua kulianzisha lile vibe la kimahaba at least penzi lichangamke lakini dah mwenzangu anakuwa wa kawaida wala haoneshi zile hisia mpaka nafikiria jinsi gani.
Naweza kujinasua au hili jambo nitumie akili gani niweze kuvuka kipindi hiki maana huko mbeleni naona kuna bomu linakuja kulipuka