Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Safikri kama wiki mbili au mwezi. Uwe ubawasiliana nae vizuru tu. Ukirudi litafufuka upya[emoji91][emoji91]Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu yale
Kuna time naamua kulianzisha lile vibe la kimahaba at least penzi lichangamke lakini dah mwenzangu anakuwa wa kawaida wala haoneshi zile hisia mpaka nafikiria jinsi gani
naweza kujinasua au hili jambo nitumie akili gani niweze kuvuka kipindi hiki maana huko mbeleni naona kuna bomu linakuja kulipuka
Nakazia hili, zitangia Sana alichoflow mwambaVumilia tu mkuu,,, hapo sasa ndio uhalisia umeanza,, Yale maigizo mmeshamaliza chapter zote now mmekuja kwenye uhalisia...
Relax, Cool, anza sasa ku focus na mambo yako ya msingi,, Mjulie hali mpenzi wako once in a while na sio kila saa wala siku..
Then jitahidi uwe observer sana...huu ndio wakati wako wa kukaa kimya na kujionea the whole movie,, usilaumu kwa lolote acha vitu viende na flow..
Vumilia tu mkuu,,, hapo sasa ndio uhalisia umeanza,, Yale maigizo mmeshamaliza chapter zote now mmekuja kwenye uhalisia...
Relax, Cool, anza sasa ku focus na mambo yako ya msingi,, Mjulie hali mpenzi wako once in a while na sio kila saa wala siku..
Then jitahidi uwe observer sana...huu ndio wakati wako wa kukaa kimya na kujionea the whole movie,, usilaumu kwa lolote acha vitu viende na flow.
Mwamba nimemuelewa haswaaaNakazia hili, zitangia Sana alichoflow mwamba
N muhim sana
We Sister huwa nakubali sana comments zakoKwenye haya mamilioni ya watu, umeshindwa kupata wapenzi wengine?? nyie ndio mnafanya bei ya vitu zipande