Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Nenda Youtube msikilize Henry W. Wright. Utashangaa kugundua high blood pressure siyo ugonjwa.Ila fuatisha hayo majina vizuri maana kuna Henry Wright mwingine hana W katikati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
High Blood Pressure ni kunzia 140/90 na kuendelea, tukifahamu ya kwao imepanda kwa kiasi gani inakuwa rahisi ku plan management.
Pia ni vizuri tukafahamu chanzo, whether it is a primary or secondary Hypertension.
Pole.
Mkuu Fanya haraka uchunguzi wa chanzo cha HBP, unaweza ukaendelea kutumia dawa kushusha pressure ukajikuta unaathiri viungo vingine kama vile figo. Kwasababu maranyingine HBP husababishwa ama kuziba au kupungua ukubwa wa mishipa inayosukuma damu has a kuelekea kwenye figo. Ukisha fahamu chanzo in rahisi kutibu bp, NB nenda kafanye kipimo kinaitwa renal Doppler USS na vingine kadri daktari atakavyokushauri, matibabu ya bp yanategemea chanzo chake usiendelee kutumia dawa kabla hujabaini chanzo tafadhali.
Ingekuwa ya kushuka ningekusaidia ....
Nisaifie Mimi nina
Ni vema ukaelezea inasabsbishwa na nini hiyo ya kushuka, utasaidiwa