Ushauri: Nimegundulika kuwa na High Blood Pressure. Je, nifanyeje kuhimili hali hii?

Ushauri: Nimegundulika kuwa na High Blood Pressure. Je, nifanyeje kuhimili hali hii?

Nenda Youtube msikilize Henry W. Wright. Utashangaa kugundua high blood pressure siyo ugonjwa.Ila fuatisha hayo majina vizuri maana kuna Henry Wright mwingine hana W katikati
 
Mkuu Fanya haraka uchunguzi wa chanzo cha HBP, unaweza ukaendelea kutumia dawa kushusha pressure ukajikuta unaathiri viungo vingine kama vile figo. Kwasababu maranyingine HBP husababishwa ama kuziba au kupungua ukubwa wa mishipa inayosukuma damu has a kuelekea kwenye figo. Ukisha fahamu chanzo in rahisi kutibu bp, NB nenda kafanye kipimo kinaitwa renal Doppler USS na vingine kadri daktari atakavyokushauri, matibabu ya bp yanategemea chanzo chake usiendelee kutumia dawa kabla hujabaini chanzo tafadhali.
 
Watu wameshauri vizuri sana .Pressure ni kitu kinachojijenga taratibu kwa miaka mingi.Punguza mawazo ,punguza stress ,fanya mazoezi na zingatia unachokula na avoid sigada.pombe pia ianvalie kwan indirectly inakuletea tatizo la ongezeko la uzito
 
High Blood Pressure ni kunzia 140/90 na kuendelea, tukifahamu ya kwao imepanda kwa kiasi gani inakuwa rahisi ku plan management.

Pia ni vizuri tukafahamu chanzo, whether it is a primary or secondary Hypertension.

Pole.

Yangu ilikuwa 156/94
 
Mkuu Fanya haraka uchunguzi wa chanzo cha HBP, unaweza ukaendelea kutumia dawa kushusha pressure ukajikuta unaathiri viungo vingine kama vile figo. Kwasababu maranyingine HBP husababishwa ama kuziba au kupungua ukubwa wa mishipa inayosukuma damu has a kuelekea kwenye figo. Ukisha fahamu chanzo in rahisi kutibu bp, NB nenda kafanye kipimo kinaitwa renal Doppler USS na vingine kadri daktari atakavyokushauri, matibabu ya bp yanategemea chanzo chake usiendelee kutumia dawa kabla hujabaini chanzo tafadhali.

Asante sana kwa ushauri huu,nitauzingatia.
 
Kama tatizo lako bado lipo, tumia dawa itokanayo na mmea wa ginkgo, kwani hutibu matatizo yatokanayo na mzunguko wa damu ikiwemo shinikizo la juu la damu, hypertension.

Ina vidonge 96, fanya mpango uipate. au wasiliana nami.

Tatizo lako bado ni changa laweza kutibika.
 
Mmea wa aloe vera unajulikana sana ulimwenguni kutokana na kazi zake katika mwili wa binadamu.

Zifuatazo ni baadhi ya kazi zake
1.Hutumika katika kuifanya ngozi kuwa nyororo na ang'anyu ndiyo maana hutumiws sana katika vipodozi.

2.Hukinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua, hivyo huzuia saratani.

3.Huua fangasi, bakteria wanaosababisha masmbukizi mwilini.

4. Huondoa mikunjo kwenye ngozi na kukufanya uonekane kijana, hivyo hupunguza uzee.

5.Huongeza kinga ya mwili

6. Huondoa sumu mwilini kwa kuimarisha utendaji kazi wa ini.

7. Husaidia kupona haraka kwa vidonda vya tumbo.

8. Huondoa mlundikano wa mafuta mwilini ambayo huleta matatizo ya moyo.

9. Inaondoa tatizo la kukosa ama kuwa na choo kigumu.

Kuna takribani aina 200 za aloe vera, aina nyingine ni sumu katika mwili wa binadamu.
Aina moja kati ya 200 ndiyo hufanya kazi hizo.

Watu hupenda kuparamia tu ilimradi aloe vera. Wengi huishia kwenye matatizo.

Pata aloe vera iliyo katika mfumo wa vidonge, hii ni pure aloe vera iliyoandaliwa na kuchujwa vizuri.

Kopo moja lina vidonge 60 ambavyo utameza vidonge 2 kutwa mara mbili.

Aloe vera hii imevunwa kutoka mashamba maalum yaliyoandaliwa ya aloe vera

Jipatie kirutubisho dawa hiki kupitia 0652759322.

Watu wangu wa mikoani siku hizi nimeamua kutumia mfumo wa haraka tofauti na ilivyo kuwa awali baada ya kuwa nimewasikiliza.

KUWA NA UTARATIBU WA KUONDOA SUMU MWILINI, KWANI WENGI WETU KUTOKANA NA VYAKULA VYETU HUWA TUNAJAZA SUMU MWILINI, NA NDICHO CHANZO CHA SARATANI , MATATIZO YA MZUNGUKO WA DAMU N.K.
 
Back
Top Bottom