Mkuu Fanya haraka uchunguzi wa chanzo cha HBP, unaweza ukaendelea kutumia dawa kushusha pressure ukajikuta unaathiri viungo vingine kama vile figo. Kwasababu maranyingine HBP husababishwa ama kuziba au kupungua ukubwa wa mishipa inayosukuma damu has a kuelekea kwenye figo. Ukisha fahamu chanzo in rahisi kutibu bp, NB nenda kafanye kipimo kinaitwa renal Doppler USS na vingine kadri daktari atakavyokushauri, matibabu ya bp yanategemea chanzo chake usiendelee kutumia dawa kabla hujabaini chanzo tafadhali.