Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki
Natamani kufanya biashara
Nimesoma Degree ya business administration. So nauliza kati ya
Biashara hizi tatu ipi inaweza kunifanya niache utegemezi kwa mtaji wa 2M
Natamani kufanya biashara
Nimesoma Degree ya business administration. So nauliza kati ya
Biashara hizi tatu ipi inaweza kunifanya niache utegemezi kwa mtaji wa 2M
- Biashara ya vinywaji soft drinks na maji jumla jumla ambapo leseni yake halmshauri kwa Mwaka ni 200,000,TRA makadirio ni 50k four installment for whole year
- Biashara ya mchele jumla jumla as a supplier kwenye na mashule also reja reja kwa bei ya 1800,1400,1200
- Sare za shule masweta, sketi na kaptura na ni kwasababu frame ipo maeneo mkabala na shule mbili za msingi also shule ya secondary behind the frame! Wenye uzoefu nifanye ip??