Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

Nenda lodge za uswazi sizikokuwa na ukomo wa idadi ya watu unaoweza kuingiza vyumbani.

Kodi vyumba kumi kwa kutwa nzima, kila chumba elfu 5 (itakuwa 50,000).
Tafuta mademu kumi, kila demu mpe chumba kimoja na elfu 5 ya kula kutwa nzima (itakuwa 50,000). Jumla laki moja capital.

Wapige picha za kimtego, fungua group telegram weka picha zao na bei ya kila mmoja wapo. Unaandika sifa zake na kuwa chumba kipo.

Kila demu unacharge 20,000 per session, wakiingia ndani humo ya ziada inakuwa ya demu, wewe unakunja 20,000. Ukitoa expenses kwa kila chumba (10,000) unafaida ya 10,000. Mara 10 - 100,000 mara siku 7 ni 700,000.

Sasa unafanya huo mzunguko kwa guest tofauti tofauti kwa kutwa moja. Yani unachukua hata guest 5 ambayo ni capital ya laki tano kwa faida ya laki 5.

Ndani ya mwaka ushajenga guest yako mwenyewe. Siku ukikosa wateja unagonga mwenyewe hizo bidhaa zako.
We jamaa ni bonge la businessman. Unafaa kuwa boss wa cartel yangu ninayotaka kuianziasha. Nitakucheki nikishaset kila kitu. Una akili kama Pablo Escobar.

El Patron.
 
Nenda lodge za uswazi sizikokuwa na ukomo wa idadi ya watu unaoweza kuingiza vyumbani.

Kodi vyumba kumi kwa kutwa nzima, kila chumba elfu 5 (itakuwa 50,000).
Tafuta mademu kumi, kila demu mpe chumba kimoja na elfu 5 ya kula kutwa nzima (itakuwa 50,000). Jumla laki moja capital.

Wapige picha za kimtego, fungua group telegram weka picha zao na bei ya kila mmoja wapo. Unaandika sifa zake na kuwa chumba kipo.

Kila demu unacharge 20,000 per session, wakiingia ndani humo ya ziada inakuwa ya demu, wewe unakunja 20,000. Ukitoa expenses kwa kila chumba (10,000) unafaida ya 10,000. Mara 10 - 100,000 mara siku 7 ni 700,000.

Sasa unafanya huo mzunguko kwa guest tofauti tofauti kwa kutwa moja. Yani unachukua hata guest 5 ambayo ni capital ya laki tano kwa faida ya laki 5.

Ndani ya mwaka ushajenga guest yako mwenyewe. Siku ukikosa wateja unagonga mwenyewe hizo bidhaa zako.
Duh.. Nimeipenda hii ntaijaribu hapa Dom inaweza kunitoa nikaachana na biashara yangu ya majeneza
 
Chagua kati ya Car Accessories au Phone Accessories fanya kimoja wapo utakuja kunishukuru,

Fanya survey Bagamoyo Road,mwendokasi una jengwa ile njia,soon kutakuwa kama kimara

Asante
 
Kama una una eneo la kutosha chukua m1 Fuga kuku chotara aina ya sasso.

Anza na vifaranga 200 ambapo Kila kifaranga huuzwa 1600 kutoka silver land wapo iringa (nitakuunganisha na wakala wao hapo geita anaitwa mawazo)

Utanunua mifuko ya chakula 3 Kwa mwezi wa kwanza

Mwezi wa2 mifuko4-6 kama huwapi na vyakula vingine

Mwezi wa3-4 Anza kutengeneza mwenyew chakula(Nipo tyr kukupa formula Bure na kuja Kwa gharama zangu hapo geita kushare naww experience yangu)

Baada ya mwezi huo uza soko lipo Nje Nje na Mimi wateja wangu wapi geita hapohapo na Mimi nipo geita hata kahama Huwa nauza.

Kwanini kuku aina ya sasso?

Nimewafugakwa muda Sasa nimeona tija Yao huu ni mwaka 4 nafuga. Kwanza niwavumilivu sana Kwa magonjwa nakiri kuwa hawatofautiani na kuku wa kienyeji kwani ukiamua uwafuge kienyeji unawafuga tu bila shida yoyote

Wanakua haraka sana yaani Kwa miezi hiyo4 kuku Tyr kafikia kuuzwa Kwa Tsh17-19k bei ya Jumla!!

Kwa sababu wewe ni wageita hapohapo nakushauri uza mwenyewe rejareja

Wengi wa watu hawawaju kama ni chotara hasa ukiwafuga kienyeji zaidi kama nifugavyo Mimi kwani mafuta Huwa ni kiasi kidogo sana.

Ukiwafuga kisasa tegemea soko kuwa chini na gharama zitakuwa juu zaidi maana watu hawapendi kuku wenye mafuta mengi na nyama laini.

Hawa kuku pia ukiwaacha wafikie miezi5-6 huanza kutaga Kwa speed sana hivyo ni juu Yako Sasa uache uuze mayai ama uuze kuku yote heri ni vile utakavyo wewe.

Ni mengi lkn naweza tiririka hapa kumbe wazo lako ni biashara za kukaa kwenye kiyoyozi hata kama faidi 120,000/= Kwa mwezi hujari kikubwa kiyoyozi na upo ofisini. Ahsantee
Unamaanisha hiyo laki tano Itatosha kugharamia vyote hivyo, mpaka kuku wanakua?

Au aanze n vifaranga 10?
 
Back
Top Bottom