Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

Kudadeki
 
Mazao yana element za uswahili na costing
 
Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu upate Members wa kukupa Mawazo mema hapa japo Wendawazimu hutowakosa.
 
Shikamoo Mkuu bonge la Wazo Kudadadeki........Ngoja nami nizikusanyekusanye tu niende Bukoba ( Kagera ) kuifanya.

Kula Tano Mkuu na nimekukubali kwa Madini yako mazuri Kwake haya ambayo hata Mimi pia nayaibia huku Kimtindo.
 
Kama kweli umesomea usimamizi wa biashara. Umeshindwa kufanya viability analysis?

Je ukiuza maji unatarajia kupata net profit kiasi Gani kwa mwezi. Nafaka je na share?

Je eneo ulilopo ni biashara ipi itatoka mwaka mzima na ipi ni seasonal?
Ipi Ina uwezekano wa expansion. Kama hujui achana nazo zote
 
Shikamoo Mkuu bonge la Wazo Kudadadeki........Ngoja nami nizikusanyekusanye tu niende Bukoba ( Kagera ) kuifanya.

Kula Tano Mkuu na nimekukubali kwa Madini yako mazuri Kwake haya ambayo hata Mimi pia nayaibia huku Kimtindo.
Siku ukikosa wateja usisite kunitafuta Mkuu nikumbushie enzi zetu za club silk na ange noir😃😃. Mambo ya nkwata wano, nkwata wano.
 
😂😂😂😂
 
Inayotoka mwaka mzima ni vinywaji tu! Idea ya vinywaji ilkuja Baada ya ndugu yangu mmoja kunisanua kwamba nikitengeneza Jina vZuri naweza nikawa napata tenda za vinywaji kwenye shughuli na sherehe mbalimbali

Mchele ni seasonal mwez wa 4 na hadi wa 7
Sare za shule ni seasonal
 
Mkuu ntakuja inbox unipe hii elimu
 
Hii elimu ya ufundi umeme magari inafundishwa wapi vizuri
Na inachukua MDA gani ku master kila kitu
 
Kwani Geita hamli ugali u suply unga wa mahindi? Soft drinks kwa wasukuma hukifanya reseach vizuri
 
Biashara ya mabegi ya mgongoni, soksi boxer na chupi za kike
 
Biashara ya mabegi ya mgongoni, soksi boxer na chupi za kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…