Ushauri: Nimemaliza chuo, nina mtaji wa 2M. Naweza kufanya biashara gani?

We jamaa ni bonge la businessman. Unafaa kuwa boss wa cartel yangu ninayotaka kuianziasha. Nitakucheki nikishaset kila kitu. Una akili kama Pablo Escobar.

El Patron.
 
Duh.. Nimeipenda hii ntaijaribu hapa Dom inaweza kunitoa nikaachana na biashara yangu ya majeneza
 
Chagua kati ya Car Accessories au Phone Accessories fanya kimoja wapo utakuja kunishukuru,

Fanya survey Bagamoyo Road,mwendokasi una jengwa ile njia,soon kutakuwa kama kimara

Asante
 
Unamaanisha hiyo laki tano Itatosha kugharamia vyote hivyo, mpaka kuku wanakua?

Au aanze n vifaranga 10?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…