USHAURI: Nimemkamata mtoto wa miaka 11 anajichua bafuni akiwa anajiandaa kwenda shule

USHAURI: Nimemkamata mtoto wa miaka 11 anajichua bafuni akiwa anajiandaa kwenda shule

Duuh! huyo mtoto miaka 11 kachaanza puchu aisee ana safari ndefu, mueleze tu madhara ya anachofanya..!!madhara ya balehe za mapema
 
Huyo hata umfanyeje hatakaa aache hicho kitendo, kashajua utamu wake tayari 😂
 
Muulize kama alishawah kula mzigo mfanye awe rafiki yako wa karibu mweleze madhara ya iyo kitu na njia madhubuti, ni vyema kuliko ungemkuta anajisokomeza kitu kwenye spika
 
Hayo mambo wanafundishwa shuleni na sio jambo ambalo anajifunza mwenyewe. Me nakumbuka mwaka 2001 tulifundishwa darasani kupitia elimu maalumu ya kujikinga na ukimwi.

Tulifundishwa mambo mengi sana. Namna ya kuvalisha kondom, namna ya kupiga punyeto mwanamke na mwanaume na pia namna ya kujizuia na mimba.

Kitu ambacho serikali haifahamu ni kuwa hili si jukumu lake ni swala la kifamilia. Na wanapotoa haya mafunzo wanawaexpose watoto katika elimu ya ngono na si kuwakinga na majanga.

Sisi walipotupa hiyo elimu tukarudi nyumbani na kuanza kupractice hayo mambo matokeo yake tukaanza kuzoea huo mchezo na kuwa sehemu ya addiction kwa muda mrefu sana.
 
Shuleni watoto wanalawitiana,hii nimesikia Kwa mwalimu mmja,watoto wanarubuni wenzao Kwa vitu vidogo kama pipi au biskuti
 
Back
Top Bottom