Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Daah inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchunguze Vizuri Kama hajaanza kugeuzwa na wenzieNi mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.
Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.
Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba.
Leo nikiwa nataka niende kwenye shughuli zangu niliona bafuni kuna mvuke (huwa nawasha heater mara chache sana) nikawa nasikia maji ya bomba la mvua yanatoka ikiashiria kuna mtu anaoga, nikaenda room ya karibu ya dogo nikaona uniform zake bado zipo, nilichukia maana mda ulikuwa umeenda ni saa mbili kasoro na bado hajaenda shule.
Kuna namna naweza kufungua ule mlango wa bafu nayojua mimi hata mtu akiwa kajifungia.
Nilipofungua nikaona dogo kajilaza chali utadhani yupo kitandani, kafungulia maji ya bomba la mvua, zoezi linaloendelea anapanda na kushuka mnazi.
Nilistaajabu na kuhamaki nikiwa siamini nachokiona kwa mvulana mdogo kabisa kufanya hayo mambo.
Nilipozi pale kama sekunde 10 hivi natikisa kichwa, dogo kageukia ubavu kaficha aibu.
Nikaondoka bafuni hapo nikamwambia anikute sebleni, nikiwa sebleni nikafikiria nimtembezee kipigo hevi lakini nilipofikiria kitendo alichofanya kina undugu mzito sana na uraibu unaotesa hadi watu wazima nikatulia nisijue cha kufanya, niliondoka kwenda kwenye shughuli zangu.
Ingekuwa kwamba hajatandika kitanda, hajaosha vyombo, hasalimii, hajafua uniform, katukana, kapasua tv, n.k. haya makosa ni kuonya, kukaripia na bakora lakini hii ya leo ni tofauti, hapa tunazungumzia uraibu ambao unatutesa hadi watu wazima, sio rahisi kuuondoa kwa stiki ama kugombeza ama kukanya.
Naamini ha kwamba samaki ukimkunja akiwa mbichi ni rahisi kuliko akikauka, huyu bado ni mtoto na kuna chance ya kumuokoa mapema.
Nimefikia muafaka nikae nae chini nimueleweshe, Sasa naombeni ushauri wa namna gani naweza kumuelimisha huyu mtoto aache hii tabia ?
Naombeni techniques za kumshauri mtoto ambae bado hata uwezo wake wa kuielewa hii dunia bado upo chini nimueleweshe kwa urahisi kwamba anachofanya si sawa na aache, siwezi kumshauri kama mtu mzima inabidi uwe nimshauri kwa kuzingatia utoto wake.
Punyeto ina madhara makubwa, magazeti kama fema yaliwahi kuwapotosha vijana kwamba haina madhara, Leo hii hao vijana kutwa wanasumbuka kufatilia tiba ya matatizo yaliyowakumba.
Junior Kama junior wa St. English MediumNi mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.

Duuuuuhhhh 😳😳!!Aise ndio output ya vitabu vya "Diary of a Wimpy Kid"???🤔🤔
View attachment 2518186
View attachment 2518187
View attachment 2518188
Huyo anapata kifungua kinywaNi mtoto wa kaka yangu naishi nae hapa hasa kwa lengo la yeye kusoma maana mkoa nilipo una shule nyingi.
Darasa la nne hadi la tano alikuwa anasoma boarding, kwa sasa yupo kwangu anasoma day ya karibu std 6.
Ni mtoto mchangamfu, mcheshi, mpira anacheza na uwezo wa darasani si haba.
Leo nikiwa nataka niende kwenye shughuli zangu niliona bafuni kuna mvuke (huwa nawasha heater mara chache sana) nikawa nasikia maji ya bomba la mvua yanatoka ikiashiria kuna mtu anaoga, nikaenda room ya karibu ya dogo nikaona uniform zake bado zipo, nilichukia maana mda ulikuwa umeenda ni saa mbili kasoro na bado hajaenda shule.
Kuna namna naweza kufungua ule mlango wa bafu nayojua mimi hata mtu akiwa kajifungia.
Nilipofungua nikaona dogo kajilaza chali utadhani yupo kitandani, kafungulia maji ya bomba la mvua, zoezi linaloendelea anapanda na kushuka mnazi.
Nilistaajabu na kuhamaki nikiwa siamini nachokiona kwa mvulana mdogo kabisa kufanya hayo mambo.
Nilipozi pale kama sekunde 10 hivi natikisa kichwa, dogo kageukia ubavu kaficha aibu.
Nikaondoka bafuni hapo nikamwambia anikute sebleni, nikiwa sebleni nikafikiria nimtembezee kipigo hevi lakini nilipofikiria kitendo alichofanya kina undugu mzito sana na uraibu unaotesa hadi watu wazima nikatulia nisijue cha kufanya, niliondoka kwenda kwenye shughuli zangu.
Ingekuwa kwamba hajatandika kitanda, hajaosha vyombo, hasalimii, hajafua uniform, katukana, kapasua tv, n.k. haya makosa ni kuonya, kukaripia na bakora lakini hii ya leo ni tofauti, hapa tunazungumzia uraibu ambao unatutesa hadi watu wazima, sio rahisi kuuondoa kwa stiki ama kugombeza ama kukanya.
Naamini ha kwamba samaki ukimkunja akiwa mbichi ni rahisi kuliko akikauka, huyu bado ni mtoto na kuna chance ya kumuokoa mapema.
Nimefikia muafaka nikae nae chini nimueleweshe, Sasa naombeni ushauri wa namna gani naweza kumuelimisha huyu mtoto aache hii tabia ?
Naombeni techniques za kumshauri mtoto ambae bado hata uwezo wake wa kuielewa hii dunia bado upo chini nimueleweshe kwa urahisi kwamba anachofanya si sawa na aache, siwezi kumshauri kama mtu mzima inabidi uwe nimshauri kwa kuzingatia utoto wake.
Punyeto ina madhara makubwa, magazeti kama fema yaliwahi kuwapotosha vijana kwamba haina madhara, Leo hii hao vijana kutwa wanasumbuka kufatilia tiba ya matatizo yaliyowakumba.
I want to know about this, tell me what to search. Nanakazia sex i.e male and female na sio gender maana gender ni social construct ambayo utafiti wake ulifeli miaka ya 1950s to 1980s lakini bado wazungu waliilazimisha kwamakusudi na hata waliofanyiwa huo utafiti walikuja kujiua.
.