Hayo mambo wanafundishwa shuleni na sio jambo ambalo anajifunza mwenyewe. Me nakumbuka mwaka 2001 tulifundishwa darasani kupitia elimu maalumu ya kujikinga na ukimwi.
Tulifundishwa mambo mengi sana. Namna ya kuvalisha kondom, namna ya kupiga punyeto mwanamke na mwanaume na pia namna ya kujizuia na mimba.
Kitu ambacho serikali haifahamu ni kuwa hili si jukumu lake ni swala la kifamilia. Na wanapotoa haya mafunzo wanawaexpose watoto katika elimu ya ngono na si kuwakinga na majanga.
Sisi walipotupa hiyo elimu tukarudi nyumbani na kuanza kupractice hayo mambo matokeo yake tukaanza kuzoea huo mchezo na kuwa sehemu ya addiction kwa muda mrefu sana.