Ushauri: Nimeokota wallet yenye Tsh. 50,000 pamoja na risiti za miamala ya pesa nyingi nahofia kurudisha nahisi naweza bambikiwa kesi

Ila kutangaza mitandaoni huogopi wala
 
Hamna mshikaji yupo sahihi kabisa kulingana na maelezo ya mtoa mada.

Mtoa mada anasema anaogopa kwenda kuripot polis eti kwasababu mwenye wallet anaweza kusema palikuwa na pesa nyingi humo kwenye wallet kutokana zile risit zinazononesha transactions za milioni 45 na million 10.

Sasa jamaa ndio kamjibu hiyo itakuwa wallet ya ainagani iwe na kiasi chote hicho Cha fedha,mwishonI kamshauri kama ni msamalia mwema aende tu polisi akaripoti maana ni ngumu hiyo miela kuwa kwenye wallet[emoji851]

WATU MNAMKOSOA JAMAA KWA COMMENT YAKE KUWA HAJASOMA KWA UFAHAMU ILA SIO KWELI JAMAA YUPO SAHIHI,SASA SIJUI NANYIE HAMJASOMA KWA UFAHAMU COMMENT YAKE AU NA MIMI NIMEINGIA CHAKA[emoji23]
Kwani transcation ni cash. Kasema risiti ya mihamala. Sasa hapl unashindwa kuelewa nini? Nyie ndio mlikuwa mnafeli mitihani kizembe kabisa.
 
Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk.

Nahofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake!

Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo.

Naombeni ushauri.
Tupa kila kitu kilicho ndani we ondoka na wallet tu
 
Hamna mshikaji yupo sahihi kabisa kulingana na maelezo ya mtoa mada.

Mtoa mada anasema anaogopa kwenda kuripot polis eti kwasababu mwenye wallet anaweza kusema palikuwa na pesa nyingi humo kwenye wallet kutokana zile risit zinazononesha transactions za milioni 45 na million 10.

Sasa jamaa ndio kamjibu hiyo itakuwa wallet ya ainagani iwe na kiasi chote hicho Cha fedha,mwishonI kamshauri kama ni msamalia mwema aende tu polisi akaripoti maana ni ngumu hiyo miela kuwa kwenye wallet🤓

WATU MNAMKOSOA JAMAA KWA COMMENT YAKE KUWA HAJASOMA KWA UFAHAMU ILA SIO KWELI JAMAA YUPO SAHIHI,SASA SIJUI NANYIE HAMJASOMA KWA UFAHAMU COMMENT YAKE AU NA MIMI NIMEINGIA CHAKA😂
Nikuulize wewe kuna wallet inaweza kuwa na milioni 10 za kitanzania? ?
 
Toa hizo fedha katumie,wallet usiitupe tayari ina fingerprint zako,kaitupie chooni au choma.
Usiende polisi
Usiende polisi
Usiende polisi
 
Bora ulivyoshtuka muhimu hapo toa elfu 50 vingine tupia korongoni endelea na maisha yako..!! Binadamu hatuna jema hachelewi kukupa kesi ya wizi.!
 
Kwani transcation ni cash. Kasema risiti ya mihamala. Sasa hapl unashindwa kuelewa nini? Nyie ndio mlikuwa mnafeli mitihani kizembe kabisa.

Sawa transactions siyo pesa ya mkononi ila msome mleta mada afu useme anazihofia pesa zipi zinazoweza zusha kesi kiasi hashindwe kuripoti polisi?

Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m.​

Nahofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake!​

Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo.​

Ushauri wa jamaa.

Wallet inakuwaje na mil 10?umeiokotea wapi ,katika mazingira gani?ni wewe tu umeiona?kama kweli msamalia mwema peleka polisi.​

Nilichoelewa ni kuwa jamaa anampa ushauri wa kumtoa hofu mleta mada Ili afanye jambo la kupeleka kituo Cha polisi hizo Mali alizo okota maana itakuwa ngumu kuaminika kuwa wallet inaweza kubeba fedha anazohofia kubambikiwa kuwa amezipoteza.

Sasa hapo mleta mada anahofia fedha gani kama sio hizo zinazoonekana kwenye risiti na bila shaka mleta mada anamanisha miamala/transactions kuwa nipesa zilizotolewa ATM
 
sahihi kabisa
 
Nina maanisha kwamba, kama Ile receipt iliambataana na hizo pesa nikiwa na maana zimetolewa kwaiyo kama zilikuwa kwenye bag na ndani ya bag Kuna wallet nahisi itakuwa rahis kusema nimeibiwa pesa nyingi Zaidi kwasababu iyo wallet ilikuwa kwenye bag lenye pesa mana nilikuwa nimetoa pesa na receipts zote zipo kama ushahidi.
 
Back
Top Bottom