Natamani kupata namba Yako nikupe Walau vocha kwa ushauri mzuri tatizo hela imeshaishaπCha kuokota sio cha kuiba mkuu.
Tumia hio Fedha kiasi kwa kuwasaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu inayobaki fanyia mambo yako.
Hapo utakua umejitakasa kwa sababu ukiirudisha unaweza kubambikiziwa kesi nzito kama ukabaji ama kuvunja na kuiba
Ukishaamua kurudisha basi kubali kua unafanya wema. Jamaa angemwambia tu kua nakuletea simu yako ila andaa kichache sasa hajaongea analalamika nini tena.Shida unaweza ukawa mwema kuripoti police ukadakwa wwe kesi ikabakia kwako.
Jamaa yangu juzi kaokota simu ya million moja mwenye simu akampigia kapokea akampa maelekezo alipo mwenye simu alipofika kesho yake kuchukua simu yke hata kusema neno Asante au kumuachia jamaa hata teni kapiga kimya.
Kimazoea ili siku ingine awe na moyo mengine yanaua uaminifuUkishaamua kurudisha basi kubali kua unafanya wema. Jamaa angemwambia tu kua nakuletea simu yako ila andaa kichache sasa hajaongea analalamika nini tena.
Hamna hiyo kitu mzee, kama yeye karudisha kwa wema na uaminifu malipo ya nini?? Mwema ni mwema tu kama ni muumini basi hapo hamna baraka aliyopata maana karudisha kwa kinyongo.Kimazoea ili siku ingine awe na moyo mengine yanaua uaminifu
Hajasema wallet ina milion 10 """ amesema wallet ina risiti za miamala ya 10 m na 40mWallet inakuwaje na mil 10?umeiokotea wapi ,katika mazingira gani?ni wewe tu umeiona?kama kweli msamalia mwema peleka polisi
Nini maana ya kuokota! Kuokota ni kujimilikisha kitu ambacho sio chako eti kwasababu umekikuta katika mazingira yanayoonyesha hakina mwenyewe! Lakini ukikuta kitu kina viambatanishi vinavyoonyesha jina, anuani, namba ya simu basi hapo sio kuokota ni wizi. Una njia mbili: moja ni kupita tu na kukiacha kitu hicho (hii ndo njia salama kabisa), njia ya pili ni kukipeleka polisi na kutolea maelezo (hii njia sio salama) sababu hujui mazingira yaliyonyuma ya kukutwa kwa kitu hicho hapo. Kama ulikuwa na njaa ya pesa basi dokoa kiasi sepa!Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk.
Nahofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake!
Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo.
Naombeni ushauri.
Hapana mkuu, nasoma sana hilo neno kwenye vitabu na mambo ya spiritual.Nadhani wewe ni Mkushi, kwa kutumia neno Universe. Hotep! Hotep!
Una nyota nzuri mkuu.π€£π€£πππ
Ilishawahi kunitokea zamani, tena nipo ofisini mastory ya pesa za majini. Sasa kutoka nje naenda washroom nikaiona bahasha ina elfu 10 nyingi niliingia wenge la kufa mtu. Niliiokota bahasha huku natetemeka.
Siku nyingine nipo Posta soko la kisutu nakatisha barabara nikaiona dola 50 na shilingi 9000 sikuwa na wenge aisee ile hela niliikota π€£π€£π€£
πππUna nyota nzuri mkuu.π€£π€£
Kuna uhusiano mkubwa wa kuwepo roho nyuma ya kuokota hela! Kuna kipindi nimepigika choka mbaya nilikuwa naokota mara, 10k, 5k, 2k, 1k na jeto, 200, 100, hadi 50. Sasa baada ya kujipata, sijawahi kuokota hata mia mbovu. Hapo ndo nikajua kupigika kwangu kulikuwa na mashetani yamekaa katika mlango wa kuzuia kipato. Yakiona vipi yananiachia hivyo vijisenti! Sasa mbona baada ya kujipata siokoti? Hata hivyo sitaki kuokota! Nataja za jasho languπππ
Ilishawahi kunitokea zamani, tena nipo ofisini mastory ya pesa za majini. Sasa kutoka nje naenda washroom nikaiona bahasha ina elfu 10 nyingi niliingia wenge la kufa mtu. Niliiokota bahasha huku natetemeka.
Siku nyingine nipo Posta soko la kisutu nakatisha barabara nikaiona dola 50 na shilingi 9000 sikuwa na wenge aisee ile hela niliikota π€£π€£π€£
Mimi nikiona coins huwa siokoti πKuna uhusiano mkubwa wa kuwepo roho nyuma ya kuokota hela! Kuna kipindi nimepigika choka mbaya nilikuwa naokota mara, 10k, 5k, 2k, 1k na jeto, 200, 100, hadi 50. Sasa baada ya kujipata, sijawahi kuokota hata mia mbovu. Hapo ndo nikajua kupigika kwangu kulikuwa na mashetani yamekaa katika mlango wa kuzuia kipato. Yakiona vipi yananiachia hivyo vijisenti! Sasa mbona baada ya kujipata siokoti? Hata hivyo sitaki kuokota! Nataja za jasho langu
Inategemea! Umepigika kiasi gani cha kukosa nauli alafu uokote jero mbona unamshukuru Mungu!ππMimi nikiona coins huwa siokoti π
Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk.
Nahofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake!
Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo.
Naombeni ushauri.
Kwani unataka kurusha wapi?Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk.
Nahofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake!
Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo.
Naombeni ushauri.
Mia na 50 hapana aisee, jero au 200 naweza kuokotaInategemea! Umepigika kiasi cha kukosa nauli alafu uokote jero mbona unamshukuru Mungu!ππ
Kama aliuawa kwa ujambazi then vitu vimetupwa makusudi ili wasihisiwe kwenye tukio, unaujua msemo wa 'anayekutwa na ngozi........ .Nenda polisi Mkuu waambie wampigie simu muhusika aje kuchukua vitu vyake achukulie hapo polisi. Ila polisi usiwaachie wenyewe hiyo wallet na wao ni binadamu kama kweli una nia ya kumrudishia basi wampe muhusika ukiwepo
Hahahahaha,π€£π€£π€£Hata akiipeleka polisi, hiyo hamsa polisi watatia kwapani kisha mwenyewe ataitwa aje kuchukua maratasi yake.
Muhimu hapo chukua hamsa yako, hiyo wallet mpe bodaboda wale wanaovaa ndala moja inaning'inia(vishandu) mwambie apite kituo cha polisi na ukali kisha aitupie kituoni halafu atembee na ukali.
Yaani elfu 50 ni kubahatika!!!!! Watu mna roho ngumu. Ingekuwa hata hela unayoweza kununua jumba sawa. Hiyo ukipanda daladala masaa mawili imeisha!!!Hatokuja bahatika Tena,katu