Ushauri: Nimepanga kuanza kulima mahindi mwaka huu

Huko sijuwi hali ya hewa ikoje na ardhi yake ikoje ndugu, ongea na maafisa kilimo walio katika eneo lako, au wauzaji wa mbegu wanaweza kukusaidia mawazo, maandalizi ya shamba, tarehe nzuri za kupanda, mbegu nzuri kulingana na ardhi na hali ya hewa, palizi au dawa kuzuiya magugu, muda wa kuweka mbolea na aina gani ya mbolea uweke kwa muda gani.
Karibu shambani ndugu, japo ukitaka uone mapema matunda ya jasho lako anza japo yu na eka tano hudumia vizuri, vuna hifadhi vizuri kusubiri soko.
Sengerema nataka nianze nahekar moja

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20200224_162312.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko sijuwi hali ya hewa ikoje na ardhi yake ikoje ndugu, ongea na maafisa kilimo walio katika eneo lako, au wauzaji wa mbegu wanaweza kukusaidia mawazo, maandalizi ya shamba, tarehe nzuri za kupanda, mbegu nzuri kulingana na ardhi na hali ya hewa, palizi au dawa kuzuiya magugu, muda wa kuweka mbolea na aina gani ya mbolea uweke kwa muda gani.
Karibu shambani ndugu, japo ukitaka uone mapema matunda ya jasho lako anza japo yu na eka tano hudumia vizuri, vuna hifadhi vizuri kusubiri soko.
View attachment 1369171

Sent using Jamii Forums mobile app
Homgera mkuu. Unalimia wapi? Unaweza kutuwekea hapa mchaganuo wa gharama zote kwa ekari moja?
 
Achana na michanganuo yakwenye pdf, njia sahihi ya kujifunza kama kweli uko serious ni kuanza na "shambadarasa" la kwako. Gharama zinatofautiana kanda hadi kanda, huko nakolimia bila mbegu bora, dawa za kuzuiya magugu au kupalilia, na mbolea ya kutosha kwa wakati haupati kitu, mvua ni zauhakika asilimia 100. Huku wastani kwa ekar moja tunatumia laki5 mpaka kuvuna.

Wewe unalima wapi mkuu?

Back
Top Bottom