Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,486
Reaction score
51,156
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kusex sanaa

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa

Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia,wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Nunua Dildo la Kichina ujishughulishe nalo kila unapopata hamu.
 
Ni tatizo kubwa kuliko unavyodhani na sasa kuna ulazima wa kuanza kusaka matibabu seriously. Tafuta doctor husika, namjua mdada mmoja yeye ilikuwa akiguswa tu na mwanaume hata kwa bahati mbaya tayari mzuka unampanda alienda South Afrika kufanyiwa surgery sasa yupo ok. Tafuta matibabu mamii wewe ni mgonjwa.
 
Back
Top Bottom