Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hapo inawezekana kuna tatizo la kisaikolojia zaidi.

Inawezekana una compensante. Labda utueleze, utotoni ulikosa kitu gani? Ulipata mapenzi ya wazazi? Kuna ndugu zako mlikuwa mnashindana? Uliishi na baba na mama? Ulikuwa ma kitu gani ulichokosa utotoni?

Au una viasilia vinavyokufanya uwe hypersexual? Unatumia vyakula gani? Vilevi gani? Mazingira unayokuwa muda mwingi yakoje?
 
Back
Top Bottom