Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kusex sanaa

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa

Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia,wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
WEWE UNA PEPO LA NGONO. WAHI MAOMBEZINI
 
Kuna mawili ni kuwa na hamu iliyopitiliza(sex Maniac) sasa hapa ni kusaka tiba utakuwa hufanyi kazi wewe ni kushughulikiwa tu na hata pia mumeo hatoweza nae yupo katika utafutaji mwishowe ni mimba usizotarajia au magonjwa.

Pili yawezekana huwa hufiki kileleni ndo inakupelekea kuwa ivo ila kama unafika kileleni na bado upo ivo basi tafuta tiba kwani kikawaida mwanamke akifika huwa tunakuwa watulivu Sana
 
Wewe ni hatari zaidi ya UMEME....Fanya ukaombewe
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kusex sanaa

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa

Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia,wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.

Ongea na Dr Mawazo Ujenzi... Nenda PM Kwake mtamalizana,tatizo kama hili lishawahi wakuta wenzako Zaidi ya 20,na wakatibiwa hadi sasa hivo Dr Mawazo Ujenzi hajawahi pata tena malalamiko ya wateja wake. Fanya maamuzi mapema
 
Huo ni ugonjwa,nenda ukatibiwe.Hapa hakuna m2 anayeweza kukushauri vyema!
Mkuu tiba yake ni IPI huo ugonjwa tunao wengi mpaka nahisi ni uzazi wa mpango naotumia au ni nini maana inafikia hatua tu mwanaume akigusa mikono tu basi unahisi kumwaga kila kitu nachofanya ni kujifungia ndani Huu ugonjwa mbaya sana hasa ukizingatia magonjwa na ufirauni wa siku hizi ni janga,

Pole sana mtoa mada najua usemacho
 
una pepo za ngono mpe chakula kizuri mme wako na hakikisha una mkamua hasa
 
Sawa atunze siri halafu atabakia na maumivu mpaka lini? Kama we ni Me unajua ni kiasi gani mshipa ukisimama unakosa ustaarabu kiasi hata akipita kichaa unaweza muona Mrembo, vipi usitambue kuwa hamu unayoipata ndiyo yampata huyu kiumbe wa kike?
Skfull saidia aisee kwanza kajitahidi kuwa mkweli
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kusex sanaa

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa

Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia,wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Hili tatizo hata mi nilikuwa nalo limekwisha kabisa tuwasiliane pm
 
Ni heri hata aliyeomba ushauri ana nafuu, badala ya kumshauri naona wengi wanaochangia joto limepanda zaidi yake, daaah hii inatisha.
 
Mkuu tiba yake ni IPI huo ugonjwa tunao wengi mpaka nahisi ni uzazi wa mpango naotumia au ni nini maana inafikia hatua tu mwanaume akigusa mikono tu basi unahisi kumwaga kila kitu nachofanya ni kujifungia ndani Huu ugonjwa mbaya sana hasa ukizingatia magonjwa na ufirauni wa siku hizi ni janga,

Pole sana mtoa mada najua usemacho
Kumbe nawe una genyez disease
 
Ni heri hata aliyeomba ushauri ana nafuu, badala ya kumshauri naona wengi wanaochangia joto limepanda zaidi yake, daaah hii inatisha.
Dunia INA mengi kuna waliomponda lkn kwa mada yake ilivyo Hii shida ipo ujue km mtu hajawahi kupata shida km Hii anaweza hisi huyu mtu malaya lakini yeye kusema INA maana kaona si hali ya kawaida
 
Back
Top Bottom