Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Its normal...hata me kuna kipindi ilinitokea wiki mbili mfululizo...ikaja ikapotea yenyewe...
 
Heeeh hilo ni tatizo bro tena kubwa ni vema hata yeye kafunguka kuna wengi sana wanalo hili tatizo na hawajijui kama ni tatizo,
mara nyingi huanzia zamani kama aliwahi kua sexual abused kwa namna yoyote ile na hii ipo for both men and women.

Itafute movie inaitwa Addicted utawaelewa kidogo hawa watu.
Good then....
Unadhani hapa anaweza pata suluhisho la hiyo kitu yenye inampa shida...[emoji47] [emoji47]
Zaidi ya yote, hapa ni kama ndio amaifungulia fursa kwa vijana wenye njaa ya papuchi ama maben10...[emoji13] [emoji13]
 
Hapo inawezekana kuna tatizo la kisaikolojia zaidi.

Inawezekana una compensante. Labda utueleze, utotoni ulikosa kitu gani? Ulipata mapenzi ya wazazi? Kuna ndugu zako mlikuwa mnashindana? Uliishi na baba na mama? Ulikuwa ma kitu gani ulichokosa utotoni?

Au una viasilia vinavyokufanya uwe hypersexual? Unatumia vyakula gani? Vilevi gani? Mazingira unayokuwa muda mwingi yakoje?

Hornet
 
nymphomaniac ni tatizo ambalo lipo kwa wanawake wala Si kwasababu ya ovolution
 
Good then....
Unadhani hapa anaweza pata suluhisho la hiyo kitu yenye inampa shida...[emoji47] [emoji47]
Zaidi ya yote, hapa ni kama ndio amaifungulia fursa kwa vijana wenye njaa ya papuchi ama maben10...[emoji13] [emoji13]
Suluhisho kishapata, kwanza kajua kua ni tatizo la kisaikolojia, pili kajua akikutana na mtaalam atapata tiba na tatu kajua kua hayupo peke yake kuna wenzie out there ndio maana humu wadau wamejua kua ni tatizo.
 
Good then....
Unadhani hapa anaweza pata suluhisho la hiyo kitu yenye inampa shida...[emoji47] [emoji47]
Zaidi ya yote, hapa ni kama ndio amaifungulia fursa kwa vijana wenye njaa ya papuchi ama maben10...[emoji13] [emoji13]
Hahahaaaa kwangu mie labda niamue tu ila hii thread haiwezi kuwa ni sababu

Nimekaa kimya sana,najifungia ndani,napata hasira na mixed feeling kwa kuwa horny

Na imekua too much kwa sababu mpaka mpendwa wangu amefunguka anasema anajua anat*mbewa coz nipo high sana.
Hii ndo sababu iliyonifanya nije public as kuna watu wa kaliba mbalimbali
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kusex sanaa

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa

Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia,wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
What is nymphomania?
Nymphomania is a mental disorder marked by compulsive sexual behavior. Compulsions are unwanted actions, or rituals, that a person engages in repeatedly without getting pleasure from them or being able to control them. In the case of nymphomania, people act out their compulsions by engaging in risky behaviors such as promiscuity. Whether or not nymphomania qualifies as a true mental illness is often debated in the medical community, but evidence suggests that compulsive sexual behavior is a real and serious illness.

Treatment for nymphomania may involve psychotherapy and medication. Medications for nymphomania may include antidepressants or antianxiety or antipsychotic medications, similar to the medications used for other compulsive disorders. Because compulsive sexual behavior is risky, people with nymphomania are at increased risk for developing complications such as sexually transmitted diseases.
 
Back
Top Bottom