Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
- Thread starter
- #141
Nimekua na bibi na babuHapo inawezekana kuna tatizo la kisaikolojia zaidi.
Inawezekana una compensante. Labda utueleze, utotoni ulikosa kitu gani? Ulipata mapenzi ya wazazi? Kuna ndugu zako mlikuwa mnashindana? Uliishi na baba na mama? Ulikuwa ma kitu gani ulichokosa utotoni?
Au una viasilia vinavyokufanya uwe hypersexual? Unatumia vyakula gani? Vilevi gani? Mazingira unayokuwa muda mwingi yakoje?
I missed my parent love
Sinywi pombe
Nakula both natural and junk foods