Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

kweli Ukitaka kupata ushauri wa ajabu basi waombe watanzania.....


Dada yangu Tafuta namna Ukae karibu na Mumeo.. maana ukimis ule kitu mda mrefu ukakutana na mwanaume siku mbili au tatu haitoshi kumaliza hamu.. inaweza kuchukua hata mwezi mkifanya mara hata nne kwa wiki ndio hamu ipungue,, lakini kama hata ukikaa na mume wako zaid ya mwezi akishaondoka tu hamu hapo hapo inaanza basi unahitaji maombi .. Maana kwa wakristo wanaoamini Mungu wanaweza chukulia hiyo issue kama pepo la ngono Limekuingilia na ili litoke basi unahitaji maombi.... ( Mimi siwezi kaa mbali na Mke wangu kwa miezi miwili maana hata yeye anahisia kama nilivyo nazo mmi hivyo ili kuilinda ndoa yangu huwa na kaa nae karibu sana )
 
Back
Top Bottom