Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hapo inawezekana kuna tatizo la kisaikolojia zaidi.

Inawezekana una compensante. Labda utueleze, utotoni ulikosa kitu gani? Ulipata mapenzi ya wazazi? Kuna ndugu zako mlikuwa mnashindana? Uliishi na baba na mama? Ulikuwa ma kitu gani ulichokosa utotoni?

Au una viasilia vinavyokufanya uwe hypersexual? Unatumia vyakula gani? Vilevi gani? Mazingira unayokuwa muda mwingi yakoje?
Nimekua na bibi na babu
I missed my parent love
Sinywi pombe
Nakula both natural and junk foods
 
Mkuu tiba yake ni IPI huo ugonjwa tunao wengi mpaka nahisi ni uzazi wa mpango naotumia au ni nini maana inafikia hatua tu mwanaume akigusa mikono tu basi unahisi kumwaga kila kitu nachofanya ni kujifungia ndani Huu ugonjwa mbaya sana hasa ukizingatia magonjwa na ufirauni wa siku hizi ni janga,

Pole sana mtoa mada najua usemacho

ahhahah poleni !au hamfiki kilimanjaro? mie nahis hamfiki jamani !mayb stress!
 
pole sana Hornet my dear !au huenda hufiki kileleni unabaki njiani tu ? mie nadhan tafuta kazi ngumu za kukuhchosha mwili na akili !
pia nenda hosp!maana malaika humu washajitokeza basi tafarani !sijui kwann watu wamezoea kunyooshea wenzao madole jaman !mtu ameamua kufunguka anakuja mwingine na vibwebwe juu !dah ! mtu mwingine huenda kalogwa au mijipepo lakini WAJA WA HUMU SIWAWEZI KWAKWELI ! kudos kwa wote mliochukulia jambo lake in a postive ways !
hongereni malaika wa jf
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kusex sanaa

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa

Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia,wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Dada hornet pole sana. Hakuna pm ni hapa hapa watakusumbua tu hao na msaada hutapata. Cha msingi nenda stage kwa stage. Jaribu kutenga siku maalum mpaka wiki moja ya kufanya mapenzi tu. Yani kama unakula honey moon. Yani ujitahidi kufululiza ikiwezekana mnakesha kila ukipata ham. Hapo inabidi Mme wako awe imara kweli kweli maana si mchezo. Ili asichoke mwambie ajitahidi asikojoe Mara kwa mara atachoka. Ahakikishe akikojoa Mara moja wewe ushaenda hata tano ili ham yako iishe kisha mnapumzika. Ikija mnaliamsha dude kama kawaida same thing mfanye hivyo mfululizo siku nzima masaa 24 Lakini mnakua mnapata half time kila Mara. Kama bado mnaenda siku ya pili na hata wiki. Then utaangalia mabadiliko kama yapo ndo mtaanza kupunguza na kwenda kawaida. Lengo ni kuwa kama una njege nyingi sana basi zitolewe kwa kiasi kikubwa. Mbali na Hapo labda utakua na jini mahaba ambalo hukuingilia wakati upo macho au ukiwa umelala hivyo likija tu ndo unaanza kuskia ham na inapaswa litolewe. Na kulitoa ni rahisi tu kama utahitaji. Ni vizuri kuwa na ham ya tendo la ndoa kwa wanandoa ili mapenzi yaimarike. Ukiwa huna ham tena ni shida ingine.
Pole lakini huo sio ugonjwa. Kifupi napenda mwanamke anayeweza kudum mda mrefu kwenye game na mda mwingi anakua na ham. Its so nice you enjoy a lot.
Hornet.....
 
Hahahahahah upo weye miss you

Unafika kibo lkn baada ya muda mfupi unataka tena kupandwa

arghh sasa na wewe si mtaalam !mie najua ukiona hivyo bas hujakata kiu !
dalili ya mwanamke aliyeshiba dyudyu huwa hatamani kuiona kabisaaa
 
Nyie mnaojifanya perfect humu nendeni mkawe mashemasi makanisani

Au mjitolee kuwa kama mama Maria mzisaidie jamii na huo uperfect wenu mxiiieww

Nimewaobserve kwenye nyuzi tofauti tofauti sasa endeleeni na hapa.

I have a serious problem
Inanifanys naumwa kichwa kupita kiasi mnakuja kuhororoja hapa.
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kusex sanaa

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa

Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia,wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Unajichua?
Huwa unajikojoza mwenyewe???
Tatizo ndiyo hilo. Mara nyingi ukizoea kujichua utamu wake hata mwanaume akufanye masaa 10 hawezi kukufikisha pale bado utakuwa na hamu tuu.
Rafiki yangu aliwahi kuwa na hili tatizo ila alikuja akaji control na kuacha kujichua sasa hivi anasema akifanywa anaridhika kabisa.
Kama sivyo ... Pole sana dear
 
Nyie mnaojifanya perfect humu nendeni mkawe mashemasi makanisani

Au mjitolee kuwa kama mama Maria mzisaidie jamii na huo uperfect wenu mxiiieww

Nimewaobserve kwenye nyuzi tofauti tofauti sasa endeleeni na hapa.

I have a serious problem
Inanifanys naumwa kichwa kupita kiasi mnakuja kuhororoja hapa.
NIMEKUPENDA BURE Hornet
 
Back
Top Bottom