Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Nimejifunza kujichua ni kuzidisha tatizo sio yangu lkn kupitia Uzi Huu Nimepata somo
Kweli kabisa mama, kuna elimu nzuri imetolewa humu na akina Nyani Ngabu hivyo hata ukikutana na mwenye tatizo kama hilo basi unajua hata pa kuanzia kumsaidia au kama kuna mwingine yeyote mwenye tatizo kama la mtoa mada basi kapata msaada pia.
 
Hilo pepo la ngono nenda ukafanyiwe maombi haraka
 
Nawe una hili tatizo??

wewe nitakuombea maana nina bible mkono wa kushoto lala kifudifudi neno litimie.
Comment yako nimeiscreenshot ili iwe tiba maana shida yangi ipo ktk hatua za mwanzo ni rahisi kuicontrol
 
Ovulation days ujue ile hali ndo inayokera maana km ni taulo linadunda vidole havifai kuvizoea ni hatari kwani huwezi kuwa na hamu ya pipe ni midole tuuuuu
Hivi hii huwa hutegemea na wanawake au wote tunapitia hiyo Hali.... Lile joto waweza hisi uchizi!!Naona kadri unavyokuwa ovulation inazidi kutesa!!
 
Kweli kabisa mama, kuna elimu nzuri imetolewa humu na akina Nyani Ngabu hivyo hata ukikutana na mwenye tatizo kama hilo basi unajua hata pa kuanzia kumsaidia au kama kuna mwingine yeyote mwenye tatizo kama la mtoa mada basi kapata msaada pia.
Nachoshukuru nineshiriki mjadala sijaishia kusoma tu

Mbarikiwe sana muwe na jioni njema
 
Hali hiyo itakupata kama utafanya mapenzi bila kudidsh sasa jichunguze kama huwa unadindishwa ndo unafanya,

Lakini pia hujaeleza una miaka mingapi,unatumia vyakula gani, lazima hilo tatizo umweleze mume wako hata kama atachoka basi aendelee kukuchezea

Kuna majitu humu yanakwambia uyadm yananyege tu ya kutongoza na mtu anaomba ushauri na ameolewa

Mwambie mume wako maana kuchepuka c jibu, ili mbadilishe modality ya mapenzi na staili,aanze kukuchezea hata saa 1 uwe umepiz mara nyingi ndo akuingilie

Usikubali kutumia dawa hilo litaisha lenyewe
 
Hivi hii huwa hutegemea na wanawake au wote tunapitia hiyo Hali.... Lile joto waweza hisi uchizi!!Naona kadri unavyokuwa ovulation inazidi kutesa!!
Thanks sweetheart maana mimi siku hizi jamani ni too much mpk unajikuta unatokwa chozi na mengineyo untalkable
 

Ww unafikaga?!
 
Njoo pm

Nakuhaidi Ilo tatizo lako litaisha kabisa.
Niny kila kitu ni pm c tongozeni hadharani,mtakuja kutongoza na majini wahuni nyie mtu anaomba ushauri njoo pm. I hate dis behaviour
 
Mkuu hapo ni pagumu sijui kuwa ataweza maana ukisema atoe mawazo inamaana aache kumuwaza hata Mkuu wa kaya itakuwa nouma tena arif
 
Hahahaha eti kundi la watakatifu aiseee yaan mtu ujiachie kukoment na kutoa mawazo yako from nowhere unaanza kashfiwa na kubadilishiwa maneno. Mwee mwee mweee(in senga's voice)
Hahahaaa. Nimecheka ujue my dear au na wewe ndio uko kwenye lile kundi linalozungumziwa humu la watakatifu.

Numbisa njoo ucheke huku.
 
Mm tangia navyoamka asbh saa 12 mpk napolala ucku naweza kudindisha hata mara 9,je namm naweza kuwa na ugonjwa huu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…