hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaaaHapo inabidi utafute dildo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaaHapo inabidi utafute dildo
Kama haijakukuta Sema asante MunguMhhh labda ila watu tunatafautiana hivi unaanzaje kujichua mpk kujikojolea???
Hahaha auto correct bana khaa. Wahenga wenyewe hawakuona aibu, ngoja nieditMficha uchi bwana!! Au unaona aibu kuitaja mama?
Kwako na kwa wengine km wewe tupo salama la msingi ni kupata suluhu mpo watu wakusaidia Asanteni sanaMficha uzi hazai, yakikushinda omba tu msaada. Hata wakikujudge, wewe ndo ushapata tiba yako, afu unayejua uzito wa mzigo ulioubeba ni wewe, sio wao.
Kweli kabisa mama, kuna elimu nzuri imetolewa humu na akina Nyani Ngabu hivyo hata ukikutana na mwenye tatizo kama hilo basi unajua hata pa kuanzia kumsaidia au kama kuna mwingine yeyote mwenye tatizo kama la mtoa mada basi kapata msaada pia.Nimejifunza kujichua ni kuzidisha tatizo sio yangu lkn kupitia Uzi Huu Nimepata somo
Comment yako nimeiscreenshot ili iwe tiba maana shida yangi ipo ktk hatua za mwanzo ni rahisi kuicontrolNawe una hili tatizo??
wewe nitakuombea maana nina bible mkono wa kushoto lala kifudifudi neno litimie.
Hivi hii huwa hutegemea na wanawake au wote tunapitia hiyo Hali.... Lile joto waweza hisi uchizi!!Naona kadri unavyokuwa ovulation inazidi kutesa!!Ovulation days ujue ile hali ndo inayokera maana km ni taulo linadunda vidole havifai kuvizoea ni hatari kwani huwezi kuwa na hamu ya pipe ni midole tuuuuu
Nachoshukuru nineshiriki mjadala sijaishia kusoma tuKweli kabisa mama, kuna elimu nzuri imetolewa humu na akina Nyani Ngabu hivyo hata ukikutana na mwenye tatizo kama hilo basi unajua hata pa kuanzia kumsaidia au kama kuna mwingine yeyote mwenye tatizo kama la mtoa mada basi kapata msaada pia.
Hali hiyo itakupata kama utafanya mapenzi bila kudidsh sasa jichunguze kama huwa unadindishwa ndo unafanya,Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Jibu tayari ushalitoa kuwa watu tunatofautianaMhhh labda ila watu tunatafautiana hivi unaanzaje kujichua mpk kujikojolea???
Thanks sweetheart maana mimi siku hizi jamani ni too much mpk unajikuta unatokwa chozi na mengineyo untalkableHivi hii huwa hutegemea na wanawake au wote tunapitia hiyo Hali.... Lile joto waweza hisi uchizi!!Naona kadri unavyokuwa ovulation inazidi kutesa!!
Kuna mawili ni kuwa na hamu iliyopitiliza(sex Maniac) sasa hapa ni kusaka tiba utakuwa hufanyi kazi wewe ni kushughulikiwa tu na hata pia mumeo hatoweza nae yupo katika utafutaji mwishowe ni mimba usizotarajia au magonjwa.
Pili yawezekana huwa hufiki kileleni ndo inakupelekea kuwa ivo ila kama unafika kileleni na bado upo ivo basi tafuta tiba kwani kikawaida mwanamke akifika huwa tunakuwa watulivu Sana
Niny kila kitu ni pm c tongozeni hadharani,mtakuja kutongoza na majini wahuni nyie mtu anaomba ushauri njoo pm. I hate dis behaviourNjoo pm
Nakuhaidi Ilo tatizo lako litaisha kabisa.
Mkuu hapo ni pagumu sijui kuwa ataweza maana ukisema atoe mawazo inamaana aache kumuwaza hata Mkuu wa kaya itakuwa nouma tena arifBasi Kuna mengi saana kwako...
1. Huwenda kipindi ulipoanza kupata hamu kilikuwa ni kipindi cha kawaida kinachotokea kwa kila mtu ila ulipoaanza kujichua ukakidumaza kikaendelea hadi leo.
Unahitaji ushauri wa kisaikolojia.
Nitakachokushauri haya:
1. Kwanza kaa mbali na hawa wanaokuita inbox watalimaliza tatizo lako wanaweza kukuharibia ndoa yako. Wakemee nami nitaenda mlimani kukuombea.
2. Hamu ya ngono ni suala la kisaikolojia linaloweza kukuondoka akilini kama utanuia kuanzia akilini hadi kwenye mazingira uishiyo.
Hapa:
-hikikisha unakaa mbali na chochote unachohisi kitakushawishi kuwaza ngono, jukwaa la wakubwa, MMU, n.k
-tafuta cha kufanya kitakachokusaulisha hiyo hamu. Hapa tofautisha kuwa-busy na kuwa kazini. Kila mtu anaweza kuwa na kazi tena nzito ila sio kila mmoja anaweza kuwa busy au ku-concentrate kwenye hiyo kazi..lielewe kabisa.
-Inaonekana pia upo mwenyewemwenyewe muda mwingi. Jitahidi muda uliyopo free chukua watoto utoke nao mkatembee kama hauna hata wa jirani zako nendeni public places mkakae mpige story.. huwezi kuwaza ngono hapa otherwise unanitania
-fanya mazoezi lakini yawe serious... Nenda hata hapo Jk gerezani zunguka uwanjani mara nne kwa siku ukifika nyumbani nyonga zinauma. Ngono utaiskia.
Hahahaaa. Nimecheka ujue my dear au na wewe ndio uko kwenye lile kundi linalozungumziwa humu la watakatifu.
Numbisa njoo ucheke huku.
Ninazo za kawaida tu kama binadamu wengine but mtoa mada ye zimezidi so anahitaji msaadaNa wewe Antonio zipo vzr tuu sema sio hizo za mleta mada za kufurika.