Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hahahhahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikianza kuwataja itakua thread nyingine

Watu wataumizana humu
The good thing tunaheshimiana

So lets close the topic.

yap yap ! i like it !with no strings attached!
sex partner
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Mmmh..M.o.u
 
ni pm tuone ni namna gani tutaweza kulitatua tatizo lako by the way umesha acha maswala ya kujiba raha mwenyewe kwa vidole?
Hahahaaaa.....

Nimeona huu uzi wake nikakumbuka comment yake flani hivi kuwa baada ya mumewe kinafuata kidole.

Pole yake aisee,labda mtu wake hamkuni vizuri
 
Ushauri wangu kama unamaanisha unachokisema ni bora ukawaona wataalamu wa afya ya uzazi. Ya humu ni mzaha tu. Pole
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Dah,uliposema umefikia hatua ya kucheat nimeahirisha suala la kuoa kwa muda manake kama wanawake wenyewe ndo dizaini yako ni hatari.
 
We huguswi vzuri,njoo pm hilo tatizo linakata yaaan mpaka uite zimamoto
 
Back
Top Bottom