Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Aisee wanawake wa namna hiyo mi ndo nawataka. Yaani ni mwendo wa kukt..mba mpaka ujute.
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Kusema kweli dawa ya kudumu siijui ila nipo tayari kukusukumia cassa va bien pale unapokua na hamu.we ukipata hamu tu unakuja pm chap tuyajenge.
 
Hapa JF ulishatoka na ID/akina nani my dear?[emoji53][emoji53][emoji53]........Tupia at least mifano mitatu tu my dear na rohoo yangu itapona![emoji53]
Hahahhahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikianza kuwataja itakua thread nyingine

Watu wataumizana humu
The good thing tunaheshimiana

So lets close the topic.
 
Teh teh [emoji12] [emoji39]

Nimefurahishwa na comment yako.
 
ukifa utaacha....inaonekana hyo ndio dawa pekeee maana mwili utaacha kufanya kazi na ww utakua umeacha
 
Nina historia ya kutatua tatizo hilo ndani ya muda mfupi bure kabisaaaa
 
Tatizo lako linatibika,,, unapaswa kupata FUNDI mzuri,,, hao unaowapata ni VIBARUA na SAIDIA FUNDI,,, njoo PM.,, naamini Mimi ndy suluhisho,,, elewa KUTOFAUTISHA jinsia ya kiume na MWANAUME,,, huenda unapata watu wenye jinsia ya kiume na sio wanaume, , mwanaume halisi UKIKUTANA NAE lazima utafute FENI likupulize baada ya UCHOVU,,
 
watu na misifa yenu...kumbe Mmmmh
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Dada yaan una high libido nenda kwa wana psychologist watakusaidia.
 
Acheni utani
Km Dada anachoongea ni kweli aisee acheni utani na mizaha
Plsss panahitajika msaada wa kitaalamu na wa ukweli
 
Back
Top Bottom