Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema kweli dawa ya kudumu siijui ila nipo tayari kukusukumia cassa va bien pale unapokua na hamu.we ukipata hamu tu unakuja pm chap tuyajenge.Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Poa....ila pole kwa yanayokusibu...hope soon you will get a remedy of that strange malady...Utakua tuu sawa.Nitaitafuta
Hahahhahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa JF ulishatoka na ID/akina nani my dear?[emoji53][emoji53][emoji53]........Tupia at least mifano mitatu tu my dear na rohoo yangu itapona![emoji53]
much appreciation to you![emoji122][emoji122][emoji122]Hahahhahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikianza kuwataja itakua thread nyingine
Watu wataumizana humu
The good thing tunaheshimiana
So lets close the topic.
Teh teh [emoji12] [emoji39]Hahahhahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikianza kuwataja itakua thread nyingine
Watu wataumizana humu
The good thing tunaheshimiana
So lets close the topic.
watu na misifa yenu...kumbe MmmmhTatizo lako linatibika,,, unapaswa kupata FUNDI mzuri,,, hao unaowapata ni VIBARUA na SAIDIA FUNDI,,, njoo PM.,, naamini Mimi ndy suluhisho,,, elewa KUTOFAUTISHA jinsia ya kiume na MWANAUME,,, huenda unapata watu wenye jinsia ya kiume na sio wanaume, , mwanaume halisi UKIKUTANA NAE lazima utafute FENI likupulize baada ya UCHOVU,,
Mapombe mnayo yakunywa hayo
Dada yaan una high libido nenda kwa wana psychologist watakusaidia.Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.