Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Hii mbona kam nadharia ya Sigmund Freud? Au nimechanganya?
 
Hii mbona kam nadharia ya Sigmund Freud? Au nimechanganya?
Kaka, mimi ni nadra sana kuandika vitu ambavyo nimejitungia mwenyewe tu kichwani kwangu.

Mara nyingi huenda na mambo niliyosoma kwa wataalamu na yaliyopitishwa katika machujio ya muda mrefu.

That is Freudian thinking that has been validated by others over the years, with exceptions.
 
Huyu manzi itakuwa ana nyege nyingi sana nakumbuka alitoa bandiko lake kwamba amemzimia msela kwenye mwendo kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…