Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Inawezekana kukosamaleziya baba na mama kukawa na uhusiano fulani hapo.

Sisemi kwamba ni sababu, ila kuna uwezekano mkubwa. Hususan ukichanganya na vitu vingine ambavyo viko mahsusi kwako.

Labda subconsciously unatafuta mapenzi uliyokosa kutoka kwa wazazi katika hilo tendo na kila ukitafuta unaona halitoshelezi.
Hii mbona kam nadharia ya Sigmund Freud? Au nimechanganya?
 
Hii mbona kam nadharia ya Sigmund Freud? Au nimechanganya?
Kaka, mimi ni nadra sana kuandika vitu ambavyo nimejitungia mwenyewe tu kichwani kwangu.

Mara nyingi huenda na mambo niliyosoma kwa wataalamu na yaliyopitishwa katika machujio ya muda mrefu.

That is Freudian thinking that has been validated by others over the years, with exceptions.
 
Huyu manzi itakuwa ana nyege nyingi sana nakumbuka alitoa bandiko lake kwamba amemzimia msela kwenye mwendo kasi
 
Back
Top Bottom