Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Mwambie mumeo atafute unga wa fisi maji ajichanjie kwenye dushe tatizo lako litakuwa historia
 
Pole kwa tatizo
Hili tatizo umeanza kupata muda gan?
 
Waislam ikitujia hali kama hiyo mafundisho yetu yanatufunza tufunge. (Ibada ya swaum).

Inasaidia sana, maana inaweza kuwa inasababishwa na "life style" yako kwa hiyo Ibada ya kufunga itabadilisha "life style" yako.
 
Shukrani
Nimeondokana na hali hiyo muda sasa
 
Waislam ikitujia hali kama hiyo mafundisho yetu yanatufunza tufunge. (Ibada ya swaum).

Inasaidia sana, maana inaweza kuwa inasababishwa na "life style" yako kwa hiyo Ibada ya kufunga itabadilisha "life style" yako.

Mkuu upo??? Kitambo sana sasa
 
Hilo swali Muulize Mwenyezi Mungu atakupa solution ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…