Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Shukrani
Nimeondokana na hali hiyo muda sasa
Kuna mwanamke mmoja umri wake miaka 32 alipatwa na hali ya kupata "orgasms" (kufika kileleni) bila kuguswa na mtu. Ilianza kidogo kidogo, kutwa mara mbili au tatu, ikawa kila siku zinavyokwenda inazidi, ikafikia mpaka kutwa mara 25 Hadi 30. Madaktari wamempa dawa kila aina zikawa zinasaidia kwa muda. Akiacha dawa siku mbili tatu hali inarudi.

Akapewa ushauri wa kufunga ukamsaidia sana mpaka kawa normal kabisa.

Kitaalaam hali yake inaitwa "Persistent genital arousal disorder".
 
Da wengine unasugua mpk anakwambia basi wengine ham haikwishi aisee dunia hii jamaa anafaudu mana kila Mara anautaka kama ni mpira basi kiungo wa juu
 

Haya mambo yapo tofauti ni uwazi wa mtu

Wanawake tumeumbiwa haya,hii inatufanya tunaishi kwa woga na kuteseka kwa mambo yanayowezekana kutibiwa!

Binafsi nilipata ushauri kutoka kwa mtu humu ndani,alinishauri pia kufuata mtiririko wa Swalah na mambo mengine ya kisaikolojia

Tatizo liliisha kabisa, wazo la funga nimelichukua litanibeba kwenye mambo mengine InshaAllah
 
Hallelujah!!!
 
It is called high libido, ina matibabu yake hiyo
 
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Hapo ukutafuta suluhisho ,sababu kama ulie nae ndani muda wote tiba haijakolea na anatimiza wajibu wake ,inakuaje sasa kwa mchepuko ,ambae ukai nae muda wote ..
 
Nikikubana vizuri na hii dudu language,nadhani siku hiyo hiyo utaomba talaka KWA mumeo,hiyo dozi usipime na tutakuwa tunafanya kila siku,
 

Njoo pm
 
Mkuu pole sana kwa hilo tatizo ila ukiona linazid paka pilipili kila ukisikia hamu we paka pilipili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…