100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Usisahau kuukalia pia
Acha kuwajibu, unawapa sababu za kuendelea kuandika pumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kuukalia pia
Kuna mwanamke mmoja umri wake miaka 32 alipatwa na hali ya kupata "orgasms" (kufika kileleni) bila kuguswa na mtu. Ilianza kidogo kidogo, kutwa mara mbili au tatu, ikawa kila siku zinavyokwenda inazidi, ikafikia mpaka kutwa mara 25 Hadi 30. Madaktari wamempa dawa kila aina zikawa zinasaidia kwa muda. Akiacha dawa siku mbili tatu hali inarudi.Shukrani
Nimeondokana na hali hiyo muda sasa
Kuna mwanamke mmoja umri wake miaka 32 alipatwa na hali ya kupata "orgasms" (kufika kileleni) bila kuguswa na mtu. Ilianza kidogo kidogo, kutwa mara mbili au tatu, Ikiwa kila siku zinavyokwenda inabidi, ikafikia mpaka kutwa mara 25 Hadi 30. Madaktari wamempa dawa kila aina zikawa zinasaidia kwa muda. Akiacha dawa siku mbili tatu hali inarudi.
Akapewa ushauri wa kufunga ukamsaidia sana mpaka kawa normal kabisa.
Kitaalaam hali yake inaitwa "Persistent genital arousal disorder".
Sina haja
Merry Christmas!!Wenye mapepo wanajuana
Hallelujah!!!Haya mambo yapo tofauti ni uwazi wa mtu
Wanawake tumeumbiwa haya,hii inatufanya tunaishi kwa woga na kuteseka kwa mambo yanayowezekana kutibiwa!
Binafsi nilipata ushauri kutoka kwa mtu humu ndani,alinishauri pia kufuata mtiririko wa Swalah na mambo mengine ya kisaikolojia
Tatizo liliisha kabisa, wazo la funga nimelichukua litanibeba kwenye mambo mengine InshaAllah
It is called high libido, ina matibabu yake hiyoYaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Nahisi hivyo!Xmass I
Imekufufua?!
Sidhan kama kuna ubaya nikifahamUnielewe halafu?
Hapo ukutafuta suluhisho ,sababu kama ulie nae ndani muda wote tiba haijakolea na anatimiza wajibu wake ,inakuaje sasa kwa mchepuko ,ambae ukai nae muda wote ..Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Mkuu pole sana kwa hilo tatizo ila ukiona linazid paka pilipili kila ukisikia hamu we paka pilipili.Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
pole sana mkuu...Usicheke maana mi show mpaka kukazia na spana. Nataka zile za gusa unate. Unasukuma mtoto na kidole tu unajilia mzigo