Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Pole yake huko alipo ila anaweza kwenda kwenye kituo chochote cha afya akapima hii itamsaidia kujua afya yake ipoje akiwa negative atachukua tahadhari ila akiwa positive ajue kuna mbaazi zinamhusu mpaka anaingia kaburini. Maana unaweza shiriki tendo la ndoa na mwanamke ambaye ni positive na usipate kimbembe kinakuja kama huyu Hazard CFC kalala na huyu mwanamke zaidi ya mara moja uwezo wa kuwa ameungua ni 99% hiyo moja amuachie Mungu.
Duuh
 
3 months ni muda mrefu sana; itamsababisha mwenzio ku-cheat kama uivyokuwa wewe!
Hiyo tiba ya kupunguza utakuwa ulizidisha..!
Umepata dozi kubwa sana,rudi kamwambie dk akuregezee bhana,angalau baada ya siku 3,ujisikie tena,maana hapo uenda we bado mdogo kiumri,ukigonga fifty utajikuta hutaki hata kumuona mwanaume,wakati kuna ke wamezidi fifty lkn wanahamu utadhani vibinti fulani hivi.
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.

Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
PROBLEM SOLVED..
 
IMG_0025.jpeg

Ok
 
Umepata dozi kubwa sana,rudi kamwambie dk akuregezee bhana,angalau baada ya siku 3,ujisikie tena,maana hapo uenda we bado mdogo kiumri,ukigonga fifty utajikuta hutaki hata kumuona mwanaume,wakati kuna ke wamezidi fifty lkn wanahamu utadhani vibinti fulani hivi.
Mkuu uwe unasoma vizuri!
Comment yangu nimeelekeza kwa mtoa mada.
Reaction yako unaelekeza kwangu vipi?!
 
Back
Top Bottom