skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,383
MmmhUpo vizuri sana ndo hivyo nakimbia sehemu lkn ntarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhUpo vizuri sana ndo hivyo nakimbia sehemu lkn ntarudi
Kunya BogaNiny kila kitu ni pm c tongozeni hadharani,mtakuja kutongoza na majini wahuni nyie mtu anaomba ushauri njoo pm. I hate dis behaviour
Siku hizi Tanzania hawaruhusu alieishia la saba kuwa Mwalimu!![emoji53][emoji53][emoji53]Hakika Ngabu ni mwalimu!
Wengi tu humu hujifunza mengi toka kwangu, hata kama ni kimya kimya.
Nilipaswa kuwa mwalimu.
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
hahaaaa mapenzi yasiku hizi ruksa kushikana mwili lakini sio ruksa kushikiana simudah! sasa naelewa umuhimu wa fake id hapa jf na kwanini majumbani kila mtu na simu yake.
Kikubwa nikuweza kujicontrol...nilijua huwa nalia mwenyewe tu..kuna kipindi inawwza kuanza tarehe kidogo kabla ya MP then hufululiza mpaka ovulation ipite..unaweza hisi kudata!!Thanks sweetheart maana mimi siku hizi jamani ni too much mpk unajikuta unatokwa chozi na mengineyo untalkable
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?
Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.
Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.
Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.
Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.
Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Tanzania hawaruhusu alieishia la saba kuwa Mwalimu!![emoji53][emoji53][emoji53]
Hahahaa. Mie pia nashangaa ujuwe hata iweje hatuwezi kufanana mawazo yetu banaaa.Hahahaha eti kundi la watakatifu aiseee yaan mtu ujiachie kukoment na kutoa mawazo yako from nowhere unaanza kashfiwa na kubadilishiwa maneno. Mwee mwee mweee(in senga's voice)
Siyo kutofautiana to!!! Wanawake wengi hawajui Milli yao ikoje!!!Ndyo baadhi ambao wanajua kufikishwa mpaka mtu akoboe mahindi ukirudi unachechemea. Jamii zetu hazina utaratibu wa kusema mambo kama haya.Inapelekea mtu anaumia mwenyewe tuuJibu tayari ushalitoa kuwa watu tunatofautiana
Hahahaa. Mie pia nashangaa ujuwe hata iweje hatuwezi kufanana mawazo yetu banaaa.
Halafu sijajuaga kumbe na sisi wanawake tunapendaga sana ligi. Eti Numbisa, emmy akikupuuza basi utasema amekukimbia. Duuuh.
Fake ids hizi zinaweza tutoa roho kwa presha. Hahahahaaaa
Emmy chaupole hawezi ligi na hajaizowea. Hahaaaaa.
Ni kweli kabisa na mwanamke akifunguka vitu Kama ivi ndo anaishia kuitwa malayaSiyo kutofautiana to!!! Wanawake wengi hawajui Milli yao ikoje!!!Ndyo baadhi ambao wanajua kufikishwa mpaka mtu akoboe mahindi ukirudi unachechemea. Jamii zetu hazina utaratibu wa kusema mambo kama haya.Inapelekea mtu anaumia mwenyewe tuu
Kwa kweli ndyo stereotype tuliyonayo katika Jamii.Ni kweli kabisa na mwanamke akifunguka vitu Kama ivi ndo anaishia kuitwa malaya
Kabisa kila mtu na mawazo yake,hata anko magu huwa ana frustration zake binafsi ila huwa anazitafutiaga ligi kubwa na za watu wakorofi sio wapole
Kabisa hee na kombe ntajipa kukimbiwa raha hahahaha
Ndo maana tunazilinda ID zetu ili kutupa kaubabe nyuma ya keyboards
Hahahaaa. Itabidi my dear sababu kuanza kukimbiwa kwa jambo ambalo hata hujui kama lina uhalisia inachekesha saa nyingine. Hahahahaaa.
Ila kama ni uzito leo nimepungua aisee. Sababu kuanzia asubuhi kukaa na kitu rohoni halafu sina pa kukitua inakuwa hatari sana , sa sijui huu uzi usingekuwepo sumu hii ningeimwaga wapi. Hahahaaaa.
Hahahaaa. Kila mtu apambane na fake id yake kwa kweli. Na tusipangiane cha kuandika. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
HahahahaaaaWeka mafuta ya taa kwenye maharage (sijui walikuwa wanaweka yakiwa yameiva au yakichemshwa)
Kabisaa tusipangiane maana hatuchukuliani mabwana humu tupo freee kabisa kuchat na kukoment tukitakacho.