Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Kwa sababu tatizo ni hamu na hamu ni untouchable mi ndo mganga wake huwa natibu visivyoshikika kwanza ndo nakuja vinavyoshikika
 
Hakika Ngabu ni mwalimu!

Wengi tu humu hujifunza mengi toka kwangu, hata kama ni kimya kimya.

Nilipaswa kuwa mwalimu.
Siku hizi Tanzania hawaruhusu alieishia la saba kuwa Mwalimu!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.

Mimi ni Me nina tatizo kama lako.Serious huwa ipo hivyo mara nyingi.
 
Thanks sweetheart maana mimi siku hizi jamani ni too much mpk unajikuta unatokwa chozi na mengineyo untalkable
Kikubwa nikuweza kujicontrol...nilijua huwa nalia mwenyewe tu..kuna kipindi inawwza kuanza tarehe kidogo kabla ya MP then hufululiza mpaka ovulation ipite..unaweza hisi kudata!!
 
Hujasuguliwa vyakutosha, wewe ndo mzuri yaani, kama huchoki wewe unafaa wengine wanakosa kama wewe hata mm sipendi mvivu design yako naipenda sana kwani hata mm napenda kila saa nifanye!

Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
 
Hahahaha eti kundi la watakatifu aiseee yaan mtu ujiachie kukoment na kutoa mawazo yako from nowhere unaanza kashfiwa na kubadilishiwa maneno. Mwee mwee mweee(in senga's voice)
Hahahaa. Mie pia nashangaa ujuwe hata iweje hatuwezi kufanana mawazo yetu banaaa.

Halafu sijajuaga kumbe na sisi wanawake tunapendaga sana ligi. Eti Numbisa, emmy akikupuuza basi utasema amekukimbia. Duuuh.

Fake ids hizi zinaweza tutoa roho kwa presha. Hahahahaaaa

Emmy chaupole hawezi ligi na hajaizowea. Hahaaaaa.
 
Kabisa kila mtu na mawazo yake,hata anko magu huwa ana frustration zake binafsi ila huwa anazitafutiaga ligi kubwa na za watu wakorofi sio wapole

Kabisa hee na kombe ntajipa kukimbiwa raha hahahaha

Ndo maana tunazilinda ID zetu ili kutupa kaubabe nyuma ya keyboards

Siyo kutofautiana to!!! Wanawake wengi hawajui Milli yao ikoje!!!Ndyo baadhi ambao wanajua kufikishwa mpaka mtu akoboe mahindi ukirudi unachechemea. Jamii zetu hazina utaratibu wa kusema mambo kama haya.Inapelekea mtu anaumia mwenyewe tuu
Ni kweli kabisa na mwanamke akifunguka vitu Kama ivi ndo anaishia kuitwa malaya
 
Kwani shida ni nini??? Aha watu tujifunze banaaa kwani nyie mnavyosemaga vya kwenu sijui mnakojoa haraka mara bao moja dudu limelala mbona huwa tunawapa ushauri??? Ila mi kwa upande wangu nadhani hili swala ni la kuombewa na kutibiwa. Too much of anything is harmful
 
Kabisa kila mtu na mawazo yake,hata anko magu huwa ana frustration zake binafsi ila huwa anazitafutiaga ligi kubwa na za watu wakorofi sio wapole

Kabisa hee na kombe ntajipa kukimbiwa raha hahahaha

Ndo maana tunazilinda ID zetu ili kutupa kaubabe nyuma ya keyboards

Hahahaaa. Itabidi my dear sababu kuanza kujitangazia kukimbiwa kwa jambo ambalo hata hujui kama lina uhalisia inachekesha saa nyingine. Hahahahaaa.

Ila kama ni uzito leo nimepungua aisee. Sababu kuanzia asubuhi kukaa na kitu rohoni halafu sina pa kukitua inakuwa hatari sana , sa sijui huu uzi usingekuwepo sumu hii ningeimwaga wapi. Hahahaaaa.

Hahahaaa. Kila mtu apambane na fake id yake kwa kweli. Na tusipangiane cha kuandika.
 
Kabisaa tusipangiane maana hatuchukuliani mabwana humu tupo freee kabisa kuchat na kukoment tukitakacho.

Hahahaaa. Itabidi my dear sababu kuanza kukimbiwa kwa jambo ambalo hata hujui kama lina uhalisia inachekesha saa nyingine. Hahahahaaa.

Ila kama ni uzito leo nimepungua aisee. Sababu kuanzia asubuhi kukaa na kitu rohoni halafu sina pa kukitua inakuwa hatari sana , sa sijui huu uzi usingekuwepo sumu hii ningeimwaga wapi. Hahahaaaa.

Hahahaaa. Kila mtu apambane na fake id yake kwa kweli. Na tusipangiane cha kuandika. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kabisaa tusipangiane maana hatuchukuliani mabwana humu tupo freee kabisa kuchat na kukoment tukitakacho.

Hahahaaa. Umeonaeeeee.Na penye kupinga tutapinga tu aiseee. Hahahaa.

Hakuna mtoto wa Chekechea au Primary humu eti kwamba aongozwe nini aandike. Uwe na jioni njema mwaya sababu sio kwa kucheka huku leo.

Ila wacha jf iitwe jf.
 
Namimi nina tatizo kama hilo. Nahisi ukicheat namimi itapendeza. Au nikikuoa kabisa
 
Back
Top Bottom