Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Msaada wakukupa ,,, mwambie mumeo , ajiunge na JF , atutafute tutampa Msaada na utafurahia kabisaaa wala iyo hamu yamara kwamara inayopelekea ucheat haitokuwepo tena ..

SEMA UKUMBUKEPO KUSALI CHAAAAAAAAA ...
MNAKATISHA TAMAAA SANA SISI AMBAO HATUJAOA .
Huyo mumewe akigundua anachitiwa hiyo ndoa sijui kama itakua na uhai tena!
 
Wewe huyo mumeo anakukojolea na kukuchafua tu. Haujapata ukuni kiwango cha satisfaction. Wewe unafanya ya chap chap unatakiwa ufanye ile ya taratibu, mechi unafanya kwa dakika 20 kama kuku halafu unasema umefanya.

Gemu unatakiwa unatenga siku kabisa. Wa huko wa huko wa huku wa huku. Hakuna wageni siku hiyo. Unaanza saa mbili asubuhi, ni ukuni unatembezwa, baada ya masaa mawili, unapumzika dakika thelathini kazi inaanza tena.

Hii kitu huwa inafanyika kwa timing na kwa akili ya kiume ya ziada ila si wanaume wote huiweza. So kama vipi, jipange halafu ujue nini kifanyike hapo ila hilo nakupa uhakika ndilo chanzo cha tatizo lako.
Usiombe ukutanenao mkuu,
Hawa hawana cha kupanga siku popote penye nafasi wanataka hawawezi kuvumilia
 
Usiombe ukutanenao mkuu,
Hawa hawana cha kupanga siku popote penye nafasi wanataka hawawezi kuvumilia
Mbona atashindwa mwenyewe.......nina huduma inaitwa "private in a desert"....... pumzi yake tu kama ataweza ila naweza nikapiga wiki nzima hadi aseme basi.
 
Back
Top Bottom