Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

kwa shinda hio nenda hospitali ya kueleweka ukamuone mtalaam maana si tatizo kawaida kabisa...
 
Yaani ninaweza nikatoka kufanya ila ndani ya nusu saa najikuta joto limefika 40.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida?

Hii hali inanikera sana najitahidi kuwa busy ila nikiwa katikati ya shughuli zangu najikuta napata hamu ya kufanya mapenzi sana.

Mwili unakua na msisimko wa ajabu najaribu kujizua ila imekua ngumu.

Mie nilikua mtu wa hasira nimejifunza kujizuia na nimeweza ila hamu ya sex nashindwa. Mume ninae ila hayupo muda wote na hata akiwepo anaweza kutimiza wajibu na baada ya muda nakua nataka tena.

Hii hali imenipelekea kucheat ila sijapata nafuu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya ya uzazi na viongozi wa dini naombeni ushauri namna ya kulitatua hili tatizo.
Dawa zipo!
 
Ungekuwa Me ningesema kila ukimaliza meza pilton 1 au 2 lakn kwa Ke sijui labda na we jaribu hizo pilton zitasaidia.
Mkuu inamaana kwa wanaume Hizo piriton zinasaidia kuondoa hamu ya mapenzi maana me mwenyewe nina tatizo moja uume ukisimama naweza nikashinda kutwa mzima uume haujalala hata kama nikiwa bize na kazi
 
Mkuu inamaana kwa wanaume Hizo piriton zinasaidia kuondoa hamu ya mapenzi maana me mwenyewe nina tatizo moja uume ukisimama naweza nikashinda kutwa mzima uume haujalala hata kama nikiwa bize na kazi
Haugegedi vizuri sasa unategemea nn?!
 
pole sana inabiidi upate mwanaume anaye pay attention anayeweza kukata kiu yako. uliyenaye inaonekana hajakusoma. bahati hizi kwanini hazinipati mimi jamani dah.
 
Back
Top Bottom