Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Kaka, mimi ni nadra sana kuandika vitu ambavyo nimejitungia menyewe tu kichwani kwangu.

Mara nyingi huenda na mambo niliyosoma kwa wataalamu na yaliyopitishwa katika machujio ya muda mrefu.

That is Freudian thinking that has been validated by others over the years, with exceptions.
Kilichonishtua sio wewe kuandika mawazo ya wataalamu la hasha, bali ulinikumbusha hiyo nadharia ambayo nilishawahi kuisoma sehemu fulani sasa nikawa sina uhakika kuhusu mwasisi wa hiyo nadharia
 
Ila wanaume kila mtu anataka aje PM eti atoe dose!!! Mnajiamini?? Mtamuwezaaaaa
Hakuna lolote hapo yaani ni njaa zao za mapenzi lakini naamini kuwa ni 0 tamaa tu za vijana wetu, mwanaume tunakuwa na kuamini lakini utekelezaji ni hakuna kitu, pm hakuna dawa zaidi kujichoresha kwa watu
 
Wangejua kuwa ni tapeli tu wa mapenzi,hana lolote
Wala sio tapeli Hawajui hata wanafuata nini watoto wetu hao wanajifunza ya wakubwa kesho wanakuja na mada, hivi kile cheupe kinatoka wakati unasex ni nini? Hapo ndo unajua kijana kaonja leo,
 
Bure kabisa

Hapa nimelipia lodge namsubiria mwanajf
Mmoja aliyetamba kwamba shughuli anaiweza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utawamaliza kama ni hao na dawa hutoipata [emoji2] [emoji2] [emoji2] utajikuta badala ya kuumia unacheka kwa vituko
 
Bure kabisa

Hapa nimelipia lodge namsubiria mwanajf
Mmoja aliyetamba kwamba shughuli anaiweza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, kwa hiyo tayari kuna mwanajf ameonyesha dalili za kukimbia mbio zako za Usain Bolt?

Kweli watu design yako ni heri kuwa single, ukiwa na mume/mke anaweza kuwehuka kisa hawezi kutimiza haja zako.

You'd rather be single, otherwise you'll often cheat.
 
Back
Top Bottom