Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Nawalaumu sana wazazi wetu, kweli mzazi wa kuweza kukuachia urithi wa milioni 700 hakukuachia ujuzi wowote ambao ungeundeleza, wazazi tuwafundishe watoto wetu uwekezaji na biashara tokea wakiwa wadogo.
Kama kweli
 
Geuza milioni mia 6 uweke kwenye akaunti ya dola.. Chukua milioni sabini ununue dala dala mbili (Nissan Civillian) katia bima kubwa.. Kila mwezi zikuingizie kama M5 ya kula.. Usiwe na tamaa na biashara za mtaji mkubwa.. Zinaweza zikakuendea kombo ukajikuta unaanza moja!
 
Umesema uko dar kwa makonda na umepanga chumba

Kwa nini umeamua kukimbilia Dar na kuacha fursa za bure bure hapo Mwanza
 
Ningejenga BONGE ya ghorofa pale ngarenaro halafu kwa juu naandika JANJAROO
 
Weka bank fixed deposit kama million 600 afu million 100 fungua biashara ya kukupa hela kila siku huku ukisubiri ya fixed iendelee kuzaliana. Pia fikiria kuwekeza kwenye kununua na kupanda miti. Ya mbao.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chapa ilale.
 
Weka akili ikue kwa kukuza million 100 iongeze ukiona unaweza sasa ndo ufikirie za kwenye fixed uzifanyie nini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Invest kwenye kwenye forex. By mwisho wa mwaka unaweza kuwa unamiliki hata Bombadier moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja kwanza kabla hatujaenda kwenye ushauri wa hiyo fedha, nielimishe maana ya Hilo neno "assup" please

Mi ninajihisi Kama nalitafsiri vibaya eti! Tofauti na As Soon As Possible


Sent using Jamii Forums mobile app

🤣🤣🤣 Bosi ila umemwelewa si ndio ?? amemaanisha ivyo ivyo tumsaidie kwene mia saba M,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…