Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Tafuta eneo zuri lenye mzunguko wa watu piga nyumba zako 10 za milioni 40 za vyumba vitatu na sebule za kawaida. Kisha weka wapangaji kwa 250k hadi 300k na kodi iwe ndio mtaji wa biashara. 300 milioni inayobaki iweke UTT au fixed deposit mpk akili ikikaa sawa
 
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya.

Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri wenu, ingawa sina hakika kama wachangiaji watakaochangia watanipa ushauri unaofaa au la.

Kwa utashi nilionao, naweza kuchukua yale ambayo nitaona yananifaa, na kwa yale ambayo hayatonifaa nitaweza kuyaachia humu humu jamvini.

Wana ndugu, mimi nimerithi mali na pesa taslim, ambazo kulingana na mkanganyiko na sintofahamu kutoka kwa baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki, nililazimika kuziuza zile mali zote ili kuziba mianya ya utapeli na dhuluma ambazo niliziona.

Kwa ujumla nimepata shilingi milion mia saba na laki saba (774,533,212) nilikuwa Mwanza imebidi nihamie Dar, nimepanga chumba.

Kwa wenye uzoefu; je, nifanyie nini hizi fedha?
Mkuu kwanza unapaswa utilize kichwa,,,

Vinginevyo utapoteza,,
Nakushauri mtafute wema sepetu,,au Jacklin wolper,,watakushauri vzr sana..kama wenzio akina idrisa sultani na Dallas,,
 
Kama wewe ni mwanafunzi chuoni cha kwanza nakushauri acha chuo upesi iwezekanavyo
 
Fungua kituo Cha mafuta fuel filling station
Kama vile ulikuwa kichwani kwangu mkuu....nilikuwa nasoma ushauri wa wadau...ili mwishoni nimshauri ajenge kituo cha kuuza mafuta...700 ni nyingi...nadhani kituo cha mafuta kitamlipa zaidi ya nyumba za kupangisha.
 
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya.

Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri wenu, ingawa sina hakika kama wachangiaji watakaochangia watanipa ushauri unaofaa au la.

Kwa utashi nilionao, naweza kuchukua yale ambayo nitaona yananifaa, na kwa yale ambayo hayatonifaa nitaweza kuyaachia humu humu jamvini.

Wana ndugu, mimi nimerithi mali na pesa taslim, ambazo kulingana na mkanganyiko na sintofahamu kutoka kwa baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki, nililazimika kuziuza zile mali zote ili kuziba mianya ya utapeli na dhuluma ambazo niliziona.

Kwa ujumla nimepata shilingi milion mia saba na laki saba (774,533,212) nilikuwa Mwanza imebidi nihamie Dar, nimepanga chumba.

Kwa wenye uzoefu; je, nifanyie nini hizi fedha?
Naziomba
 
Yaani unataka kutuambia huna jambo lolote moyoni mwako ambalo ungependa kulifanya? Kwa kifupi tenga fungu la kuwekeza, makazi na sadaka kwa ndugu zako wa karibu sio lazima yawe sawa.
 
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya.

Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri wenu, ingawa sina hakika kama wachangiaji watakaochangia watanipa ushauri unaofaa au la.

Kwa utashi nilionao, naweza kuchukua yale ambayo nitaona yananifaa, na kwa yale ambayo hayatonifaa nitaweza kuyaachia humu humu jamvini.

Wana ndugu, mimi nimerithi mali na pesa taslim, ambazo kulingana na mkanganyiko na sintofahamu kutoka kwa baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki, nililazimika kuziuza zile mali zote ili kuziba mianya ya utapeli na dhuluma ambazo niliziona.

Kwa ujumla nimepata shilingi milion mia saba na laki saba (774,533,212) nilikuwa Mwanza imebidi nihamie Dar, nimepanga chumba.

Kwa wenye uzoefu; je, nifanyie nini hizi fedha?
Mtama kwa watoto
 
tuwasiliane tufungue construction co am the expert
 
Njoo mitaa ya makumbusho uchanganyikiwe na totoz afu ndo akili itulie....tunaopiga mishe makumbusho tunafaidi sana kwa macho...kiufupi faida ni mara mbili ukiwekeza huku
 
Hakika kama ni kweli una hiyo hela na upo dar, hutadumu nayo zaidi ya siku 60.
Watakupiga uishie kujinyonga!

Nakushauri urudi kanda ya ziwa nenda hata Geita ukajenge nyumba hata za wapangaji wa daraja la kati. Tumia milioni500 kufanya huo uwekezaji. Jenga mdogo mdogo lau nyumba mbili mbili zikikamilika una pause kidogo unaanzisha tena.

Pia tafuta viwanja viwili vilivyo pimwa mkoani Dodoma jenga nyumba za angalau m70@ zitapata wapangaji na hata ukikwama huko mbeleni utauza kwa bei nzuri na kubaki kwenye form tu.

Usikurupuke kuanzisha biashara usiyo na uzoefu nayo utaanguka tu.
Usikumkopeshe mtu hiyo hela hatarejesha.

Ni mara 100 kaiwekeze UTT kama huwezi kufanyia kazi. Chukua m700 weka UTT wakati ukiwa unasoma ramani nn cha kufanya, nenda dom kapange hata chumba tu unazuga hata kwa kupga trip za bajaj huku unasoma ramani.

Pesa ya mirathi haidumu uwe makini sana itaisha fasta make hujaitolea jasho na hujui mzee alikaza vp.
Akaombe ushauri idirisa sulutani

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya.

Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri wenu, ingawa sina hakika kama wachangiaji watakaochangia watanipa ushauri unaofaa au la.

Kwa utashi nilionao, naweza kuchukua yale ambayo nitaona yananifaa, na kwa yale ambayo hayatonifaa nitaweza kuyaachia humu humu jamvini.

Wana ndugu, mimi nimerithi mali na pesa taslim, ambazo kulingana na mkanganyiko na sintofahamu kutoka kwa baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki, nililazimika kuziuza zile mali zote ili kuziba mianya ya utapeli na dhuluma ambazo niliziona.

Kwa ujumla nimepata shilingi milion mia saba na laki saba (774,533,212) nilikuwa Mwanza imebidi nihamie Dar, nimepanga chumba.

Kwa wenye uzoefu; je, nifanyie nini hizi fedha?
Vipi bado hujajua utafanyia nini mpaka mwaka huu?
 
Back
Top Bottom