Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Mkuu LA kwangu namie .kaongee na meneja Wa NMB watakupa 10-13% pa. Mfano hapo utapata 91M kwa mwaaka ukitoa za serikali 9.1 utabakia 81.9 ukigawa kila mwezi utapata 6.825M kila mwezi ila watakuwa wanakulipa kila baada ya miezi mitatu. Jumla wanakupa 20.5M.
 
Sikushauri uwekeze yote kwenye biashara kwa Sasa. Wekeza kidogo kidogo kwenye potential business.
Humshauri kuekeza kwenye biashara, ila unamshauri kuekeza kwenye potential BUSINESS? Sasa Business sio biashara?
 
Dar utachunwa ziishe.
Hamia Katavi uwekeze kwenye kilimo
 
Peleka BOT pale ule interest kwa mwaka uweke ua miaka 15

Nakumbuka ulikuwa ukiweka 500M kwa Mwaka unapata 80 per year kwa miaka 15

So kama unaweka 700 ina maana kwa miaka 15 kila mwaka una almost 100 zinaingia

So unachoweza fanya ni kwamba hiyo 100 unafanya yafuatayo

wewe unafungua biashara ya kwanza k unapambana nayo unachagua biashara let's say unasema unafungua

LODGE kwa wilayani, kwa 100M

Let's say unafungua lodge pale Makambako ndio pilot plan yako vyumba vyako 10 tu unatengeneza kitu kimoja safi then unasema pale kulala ni 50,000

Chumba hakikisha kina

[emoji117]Kitanda kizuri
[emoji117]Meza nzuri na kiti chake
[emoji117]TV angalau ya inch 50 na dstv full [emoji117]package
[emoji117]Sliding window
[emoji117]Tiles
[emoji117]Mlango wa kadi
[emoji117]Bafuni kuwe na Heater ya maji ya moto
Shower
[emoji117]Toilet safi mnoo
[emoji117]Ndala zisiwe za kukatwa ziwe za kwenu zenye logo zenu hata mtu akiondoka nazo mnaweza zingin
[emoji117]Bafuni mgeni anakuta kuna dawa ya mswaki, mswaki, shower gell, na lotion ya kutumia siku hiyo
[emoji117]Fridge kidogo ambapo kunakuwa na bia 2 , soda 2 na maji mawili

Huduma iwe ni Bed and Breakfast na kwamba Breakfast iwe ni bufee l

Wilayani humo watu tunaosafiri tunakosa lodge zenye huduma hizi

Receptionist awe mrembo haswaa
Room service pia

Parking iwepo hata mwenye DFP yake anapaki

Lodge ikiwa kali unakuwa ni talk of the town

Then unaitangaza kwenye Instagram etc

Unatengeneza na mfumo wa booking unajikuta lodge imekuwa booked full year

Wewe unatengeneza Niche yako Target yako ni wakuu wa idara mbalimbali za kiserikali wanaokuja wilayani humo, wafanyabiashara well off ambao hawapeni kulala lodge za kawaida

So ukiweza pilot wilaya moja next year unahamia wilaya nyingine with the same name so unategneenza Chain ya Lodges za jina lako so kwa miaka 15 unaweza tengeneza Lodges 15

However after 3 successful years ya kwanza ukiwa na history nzuri ya transactions let's kwa siku unalaza let's say 300,000 maana yake kwa mwaka lodge moja transactions ni inacheza 90M so unaweza kuandika proposal la mkopo Bank kujenga chains ya Lodges katika halmashauri 200 nchini unayoyainisha so unaweza lamba 20B ya mkopo bank kwa ajili ya expansion

So all in all 700 inaendelea kubaki bank

Bank una 20B za expansion maana hapa tunaongelea utakuwa na Lodges almost 200 nchini kote katika halmashauri

Kikubwa ni Standard ziwe zile zile

Ukishakuwa available kwenye kila halmashauri unachokifanya ni kifuatacho

[emoji117]Unafanya B2B ya Serikali kuu kwamba popote watu wa serikalini wanapokwenda wanalala kwenye lodge zako hapa unatengeneza offices Dar Es Salaam na Dodoma kwa ajili ya kuwa unafuatilia malipo, invoices maana unaweza introduce mfumo wa kulala na kulipa kila mwezi au annually kama ilivyo kwenye kuchukua mafuta

[emoji117] Unaongea na makampuni mengi ya mjini, mashirika na Taasisi binafsi zilizopo Dar kwa ajili ya kuwa unafuatilia malipo, invoices maana unaweza introduce mfumo wa kulala na kulipa kila mwezi au annually na kwenyewe

Marketing via Insta, Redio Stations (hawa wa redio stations ni sababu una sponsor events mbalimbali mfano lodge yako ndio inakuwa main sponsor wa Tigo tumewasha ya wasafi au fiesta ya Clouds so popote wasanii wakiwa wanaenda wilayani wanalala bure kwenye lodge zako

So watapiga piga picha, wata tag, watasifia

Unapata maillage na sifa
 
endelea kufanya ilichokuwa unafanya adi ukazipata
full stop
 
beti Mkuu, tandaza mkeka
 
Hili wazo zuri sana sana

Ila anaweza pia kununua nyumba za uswazi kwa 20 - 30 m anazifanyia ukarabati kuzigeuza kuwa Lodge
Hii ni kwa maeneo ya miji au majiji

All in all mzigo wote wa 700m lazma uende BOT ili afaidi in longterm
 
Thats very nice idea ya government bond anabakia na mtaji wake huku kila mwaka anakula 100m after 20yrs anachukua hela yake ama anawekeza tena bila presha
 
Maeneo ambayo nyumba laki tano bei ya kiwanja ni kubwa au umuhamishe mtu. Hivyo kwa hiyo hela anaweza kuhamisha na kujenga nyumba 3 tu.
 
Fixed deposit every 12 months unakula bata kwa mrija.
 
Nimekusoma mkuu,hapo pa kufungua bar na yeye pia awe analewa hapohapo..

Sema biashara ya bar bhana ina siasa sana..ikiwa mpya inakuwa yente,as time goes on biashara inafifia,
mi nadhani hyo biashara inahitaji mtu kubadilika mara kwa mara, na kuhakikisha haipotezi hadhi yake, nyingi hua zikishapoteza hadhi tu zinafifia jumla.. Kikubwa ubunifu nadhani.
 
iyo lunch nani analipia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…