Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Mkuu gharama ya usafiri toka kyela kwa tani,/kg ni shilingi ngap?Ina maanisha hiyo elfu 29 au 30 ni kwa plastic 1 ya kilo 20 sawa na sh.1450 au 1500 kwa kilo.Kwa kg100 sawa na sh145000 au 150000.Hiyo ni bei ya kununua huko mbeya na c sokoni huku dar.Ila huko mbeya imeshuka.Kwa jana nimeulizia nimeambiwa kwa plstic 1 imekuwa 27000 kwa mbeya mjini,kyela imekuwa 23000 hadi 26000 kwa platic 1 yenye ujazo wa kg20 .Bei ya kyela iko chini coz kyela is far away from mbeya urban ! For further conversation call me via above mentioned phone number !
Uko sahihi mkuu.Mkuu nadhan ukisema ivi utatuvunja moyo wengi
Mi nadhan ishu kubwa na ya msingi ni information, imagine next week nina mpango wa kuchukua gunia 2 Tinde Shinyanga that is to say natarajia kutumia Tshs. 400,000/=
Na kusafirisha gunia moja la kilo 100 mpaka Dar Tandale ni sh. 5000, kwenye lori including kupakia na kupakua.
Sishauri kama ndo mtu unaanza iyo biashara kwa mara ya kwanza, uanze na mtaji mkubwa (even a million can do something great), while hujajua soko, namna ya kukabiliana na changamoto za hapa na pale...in short unakuwa huna information nyingi. Unakuwa hujui hata mzigo wako utaufikishia wapi, hujawazoea wanunuzi au madalali...na wengine wakijua we mgeni wanakupiga...so it is better ukapigwa hela kidogo, ukarudi kujipanga upya.
It is better ugrow simultaneously na mtaji i.e. kadri soko linavokuwa kubwa nawe ndo unaendelea kuengage mtaji mkubwa zaidi.
Maelezo haya ni kwa mujibu wa kauzoefu kadogo na changamoto nilizopata kwenye biashara ya mazao mengine.
Yangu hayo tu
Kweli mkuuUko sahihi mkuu.
Mdogo wangu alianza hiyo biashara akiwa na shilingi milioni 1 taslimu na malengo + hasira ya kupigika mtaani. Alianza kuchukua gunia tano za mchele grade 1/A (Super) mbeya. Katika hiyo hela ilitosha gharama zake zote mpaka mzigo ukafika Dar. Hiyo ilikuwa mwaka jana mwezi wa sita au wa saba kama sikosei. Sasa hivi amekuza mtaji wake maradufu na anachukua mpaka gunia 70 mpaka 100 kwa sasa. Sijui alifanyaje kwa kweli. Ila ukiwa na nia + malengo+ hasira ya kutaabika maishani kila kitu kinawezekana.
In fact biashara yoyote ukipata mtu mwema wa kukushika mkono inakuwa rahisi Ku cop.Mimi Naomba tushikane mkono,unayejua kitu mwelekeze na mwingine ndiyo maisha ya kutafuta.Mkuu nadhan ukisema ivi utatuvunja moyo wengi
Mi nadhan ishu kubwa na ya msingi ni information, imagine next week nina mpango wa kuchukua gunia 2 Tinde Shinyanga that is to say natarajia kutumia Tshs. 400,000/=
Na kusafirisha gunia moja la kilo 100 mpaka Dar Tandale ni sh. 5000, kwenye lori including kupakia na kupakua.
Sishauri kama ndo mtu unaanza iyo biashara kwa mara ya kwanza, uanze na mtaji mkubwa (even a million can do something great), while hujajua soko, namna ya kukabiliana na changamoto za hapa na pale...in short unakuwa huna information nyingi. Unakuwa hujui hata mzigo wako utaufikishia wapi, hujawazoea wanunuzi au madalali...na wengine wakijua we mgeni wanakupiga...so it is better ukapigwa hela kidogo, ukarudi kujipanga upya.
It is better ugrow simultaneously na mtaji i.e. kadri soko linavokuwa kubwa nawe ndo unaendelea kuengage mtaji mkubwa zaidi.
Maelezo haya ni kwa mujibu wa kauzoefu kadogo na changamoto nilizopata kwenye biashara ya mazao mengine.
Yangu hayo tu
Kweli mkuu mrejesho ni jambo la maana inakuwa msaada kwa wengineJaman, tuwe na tabia ya kuleta mrejesho wa yale tuliyoombabushauri, naamini kuna mengi wengine titajifunza kutoka kwe huo mrejesho wako
Interesting, mdogo wako anaendeleaje sasa mkuu?Uko sahihi mkuu.