Ushauri: Nina roho ya kusaidia watu na kufuja pesa

You are seeking acceptance from people, hoping it will make you feel better about yourself.

Especially when they thank you for your help or treat you like a king when you are out partying.
 
Dawa kopa mkopo mkubwa ujengee nyumba za kupanga Ili huo mkopo ukuweke bize kupambana kuulipa.
Ila usiache kuisaidia watu kadri unavyobarikiwa.Makundi ya kusaidia ni wazazi, watoto yatima,wajane, wagonjwa, wanafunzi waliokwama.Usisaidie mtu kwenda kula raha.
Nadhani hii ni njia nzuri, hata mimi imewahi kunisaidia kwa kiasi fulani japo sikukopa na kujenga mimi nilifanya kitu kingine.
 
Tafuta kitabu kinaitwa The Richest Man in Babylon, soma na utimize masharti yake kama kinavyoelekeza kisha lete mrejesho baada ya miaka miwili.
 
Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu.

Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania.

Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila mwezi.

Kila nikijaribu kuacha siwezi na siyo misaada tu kwa watu mpaka mademu kwa wiki nalala na wanawake wa 3 au wawili na wote nawalipa pesa. Najaribu kuacha najikuta siwezi na ninazidi kufilisika kila kukicha.

Yaani hapa hivi nilianza kufanya kazi 2018 mpaka leo lakini cha ajabu sina kitu bank sina kitega uchumi hata kimoja.

Nilikuwa na kwangu lakini nilihama kwa wazazi wangu kwasababu ya hali yangu hiyo.

But I don’t know what I can do again.

Mnafikiri tatizo hili uletwa na nini?

Au kipi nifanye ili ni-avoid na hali hii.

Na kingine kati ya kuchunga pesa na kuziwekeza kwenye biashara kipi kizuri?
Mkuu mi nilikuwa na hilo tatizo ila baadaye napokwama unakuta wanaokusaidia ni wachache ,muhimu ni kuweka malengo ya maendeleo ,unapotaka kuwekeza au kununua kitu cha maana usisite mara mbili halafu utaona maendeleo.

Kama una uhakika na mshahara au hustle zako unapopata hela Kama ni kiwanja nenda kanunue Kama hela haikamiliki lipa kwa awamu ,Kama unataka kununua nyumba au kujenga kila ukipata hela peleka vifaa ujenzi ufanye mdogo mdogo ,at the end ukipiga mahesabu huna hela ya kumsaidia mtu zote zimeingia kwenye mipango .

Mimi kuna kipindi hela inaisha sijafanya kitu ,nikakaa chini kila nikipiga mishe siwazi Mara mbili nikiamua kuwekeza .
 
Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu.

Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania.

Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila mwezi.

Kila nikijaribu kuacha siwezi na siyo misaada tu kwa watu mpaka mademu kwa wiki nalala na wanawake wa 3 au wawili na wote nawalipa pesa. Najaribu kuacha najikuta siwezi na ninazidi kufilisika kila kukicha.

Yaani hapa hivi nilianza kufanya kazi 2018 mpaka leo lakini cha ajabu sina kitu bank sina kitega uchumi hata kimoja.

Nilikuwa na kwangu lakini nilihama kwa wazazi wangu kwasababu ya hali yangu hiyo.

But I don’t know what I can do again.

Mnafikiri tatizo hili uletwa na nini?

Au kipi nifanye ili ni-avoid na hali hii.

Na kingine kati ya kuchunga pesa na kuziwekeza kwenye biashara kipi kizuri?
Ulimbukeni wa pesa unakusumbua. Fanya kazi, pata hizo hela, jaribu kufanya kama vile huna kipato chochote. Yaani usimsaidie mtu wala usifanye uchangudoa.
 
Kasome rich dad poor dad, kitakuinspire sana
 
Nisaidie na mimi mkuu
Nahitaji laki 3 tu
Na Mungu akubariki sana
 
Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu.

Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania.

Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila mwezi.

Kila nikijaribu kuacha siwezi na siyo misaada tu kwa watu mpaka mademu kwa wiki nalala na wanawake wa 3 au wawili na wote nawalipa pesa. Najaribu kuacha najikuta siwezi na ninazidi kufilisika kila kukicha.

Yaani hapa hivi nilianza kufanya kazi 2018 mpaka leo lakini cha ajabu sina kitu bank sina kitega uchumi hata kimoja.

Nilikuwa na kwangu lakini nilihama kwa wazazi wangu kwasababu ya hali yangu hiyo.

But I don’t know what I can do again.

Mnafikiri tatizo hili uletwa na nini?

Au kipi nifanye ili ni-avoid na hali hii.

Na kingine kati ya kuchunga pesa na kuziwekeza kwenye biashara kipi kizuri?
Shetani akitaka kuingia na kukutawala huwa anaangalia udhaifu wako,
 
Unatakaje kuchunga pesa mzee baba[emoji849], weka pesa izalishe ndugu,
 
anzisha miradi itakuhitaji pesa na utazipeleka huko
 
Kasome rich dad poor dad, kitakuinspire sana
Hivi hiki kitabu kina tafasiri ya kiswahili? I wish siku moja nikisome! Watu wengi hukizungumzia sana. Mkuu kama kuna kilichotafsiriwa kiswahili naomba niambie
 
Nina ndugu yangu analipwa milion 5 salary , ila ni mbahili sana na yeye yupo tayari kutoa pesa asomeshe lakini sio vitu vingine ni mtu wa protocal sana, namkubali sana na tunaelewana sana, shida yake ni mtu wa uchumi sana pamoja na kulipwa hela nyingi anajibana lakini hela yake inapotea pasipo ona amefanya kitu gani, ni ngumu kumjua kama ana hela au lahasha kuna mtu amemkopesha hela nyingi na hajarudishiwa mpaka leo na huyo mtu nilimkanya maana tayari na mimi nilishamkopeshaga, sasa bado yupo anapanga mpaka leo ana kiwanja kikubwa ila hajapiga hatua za ujenzi, so ni vyema ndugu zangu kiushauri mtu uwe na mkakati juu ya pesa unazozipata tusaidie lakini kuwe na mpango wa kukuendeleza wewe binafsi, kutoa ni kitu kizuri chenye baraka ila ni vyema kuwa makini unavyotoa
 
Weka Budget ya maisha (Kujikimu + Maendeleo), ukipata pesa tekeleza immediately kwenye plan hizo. Usikae na hela. Hiyo ndiyo njia pekee.
 
Back
Top Bottom