Ushauri: Nina roho ya kusaidia watu na kufuja pesa

Jenga kwa kukopa wawe wanakukata kwenye mshahara.
 
Jiwekee ratiba ya matumizi yako, Anzisha miradi ya ujenzi, Ukipokea hela zako chukua nusu yake nunua ardhi kwa uwekezaji wa baadae.Usikae na hela tu ambazo hazina matumizi ya lazima, ukikaa na hela tu na shetani nae anapata mwanya wa kukuvuruga
 
Swala la wanawake kuonga dawa yake ni kuoa, tafuta mwanamke mmoja utakae mpenda na kukujali wewe pia, na asikupendee pesa zako, ukiwa na mwanamke wa mithili hiyo hutakua na tamaa kutafuta wanawake na kuwalipa ufanye nao ngono pia ni hatari kwa afya yako, tunatafuta pesa lakini hatujitunzi kiafya ni uhuni uhuni tu
 
Hivi hiki kitabu kina tafasiri ya kiswahili? I wish siku moja nikisome! Watu wengi hukizungumzia sana. Mkuu kama kuna kilichotafsiriwa kiswahili naomba niambie
Rich daddyni baba ambae alipenda sana kujua elimu ya pesa lakini yeye hakufanya vizuri sana darasani, Poor daddy ni yule daddy aliesisitiza sana juu ya elimu akiamini kuwa elimu yenye ufaulu mzuri ndiyo utampa mtu mafanikio kwenye maisha, yani mtoto amalize shule na marks za juu, tofauti yao rich daddy aliefeli shuleni ndiyo akaja kuwa na mafanikio makubwa na kuwa tajiri sana na aliwekeza kwenye biashara, ila poor daddy mzee aliefaulu sana shuleni na kufanya vizuri kwenye masomo yake kwa marks nzuri akaishia kuwa masikini,

Ni kwa muhtasari tu hapo,ila tafuta kitabu nawe ukisome kina mambo mazuri utajifunza
 
Tafuta mwanamke wa kudumu ikibidi uoe mkuu.
 
Ahsante mkuu , ntapata kilichotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili kwenye maduka ya vitabu?
 
Ahsante mkuu , ntapata kilichotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili kwenye maduka ya vitabu?

Kuna jamaa anaviuza vitabu alivyovitafsiri kwa lugha ya Kiswahili hapa hapa jf, alifungua uzi anauza vitabu mbalimbali
 

Hakuna kitu kina nuksi na mikosi Kama uzinzi.
 
Tatizo ngeli mzee
 
Bado una sijaona tatizo lako hapo, kula maisha bwa’mdogo dunia sio yetu hii.
 
Endelea na moyo huo huo mkuu, Mimi nahitaji msaada nakaribishwa pm?
Nipo serious sio jokes
 



Watu wengi bahili uongozwa na ubinafsi na mwisho peza zao na mali huwa zinapotea bila wao kujua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…