sam green
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 184
- 274
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi.
2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya ili kujua anawasliana na wakina nani? Sanaa.
3.Nikiona anaongea na mwanaume au kaongozana na mtu hilo ni tatizo kubwa sana lazima nimuulize wanamazungumzo gani? Baina yao.
4.Lakin yeye anaonesha kuchukizwa sana na vitendo vya kumchunga anasema kuwa kama namwamini basi nimpe uhuru maana ana akili anatambua analofanya jema na baya.
NB: Huyu mwanamke nampenda sana na nahitaji awe mke wangu hapo baadae, ndio maana namchunga sana mazoea na wanaume sitaki sababu huwa wanakula tunda kimasihala.
Nini? Ushauri wenu kwangu mdogo wenu.
Pia soma: Punguza wivu kwenye mahusiano
Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu. Ni mpenzi wangu, nipo nae...