Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu.
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi.
2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya ili kujua anawasliana na wakina nani? Sanaa.
3.Nikiona anaongea na mwanaume au kaongozana na mtu hilo ni tatizo kubwa sana lazima nimuulize wanamazungumzo gani? Baina yao.
4.Lakin yeye anaonesha kuchukizwa sana na vitendo vya kumchunga anasema kuwa kama namwamini basi nimpe uhuru maana ana akili anatambua analofanya jema na baya.
NB: Huyu mwanamke nampenda sana na nahitaji awe mke wangu hapo baadae, ndio maana namchunga sana mazoea na wanaume sitaki sababu huwa wanakula tunda kimasihala.
Nini? Ushauri wenu kwangu mdogo wenu.
Pia soma: Punguza wivu kwenye mahusiano
Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu. Ni mpenzi wangu, nipo nae...www.jamiiforums.com
Hata chooni nenda nae mkuu, vinginevyo nzi wanaweza kuzengea zengea mali yako.Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu.
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi.
2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya ili kujua anawasliana na wakina nani? Sanaa.
3.Nikiona anaongea na mwanaume au kaongozana na mtu hilo ni tatizo kubwa sana lazima nimuulize wanamazungumzo gani? Baina yao.
4.Lakin yeye anaonesha kuchukizwa sana na vitendo vya kumchunga anasema kuwa kama namwamini basi nimpe uhuru maana ana akili anatambua analofanya jema na baya.
NB: Huyu mwanamke nampenda sana na nahitaji awe mke wangu hapo baadae, ndio maana namchunga sana mazoea na wanaume sitaki sababu huwa wanakula tunda kimasihala.
Nini? Ushauri wenu kwangu mdogo wenu.
Pia soma: Punguza wivu kwenye mahusiano
Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu. Ni mpenzi wangu, nipo nae...www.jamiiforums.com
Nilijua tu , maana kwa wanaume kuna vitu vingi vinafanya tukue kiakili na kihisia moja wapo ni umri hasa miaka 25 ndo wengi tunakomaa kiakili .Keshasema huko juu kuwa ni 23[emoji1787]
Ingawa mimi mwanaume lakini wewe uko sahihiKwakweli Sina Cha kukusaidia maana mi mwenyewe ndo walewale, akimtizama mwanamke na nikaona natamani hata kumpofusha huwa namziba macho kwa mikono, akimgusa mwanamke natamani nikate mikono huwa naishia kumvuta mkono, akisifia muonekano wa mwanamke natamani nimfanye bubu lakini namuangalia jicho flani hivi nabadili mada ama namziba mdomo,, nimepatwa
Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu.
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi.
2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya ili kujua anawasliana na wakina nani? Sanaa.
3.Nikiona anaongea na mwanaume au kaongozana na mtu hilo ni tatizo kubwa sana lazima nimuulize wanamazungumzo gani? Baina yao.
4.Lakin yeye anaonesha kuchukizwa sana na vitendo vya kumchunga anasema kuwa kama namwamini basi nimpe uhuru maana ana akili anatambua analofanya jema na baya.
NB: Huyu mwanamke nampenda sana na nahitaji awe mke wangu hapo baadae, ndio maana namchunga sana mazoea na wanaume sitaki sababu huwa wanakula tunda kimasihala.
Nini? Ushauri wenu kwangu mdogo wenu.
Pia soma: Punguza wivu kwenye mahusiano
Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu. Ni mpenzi wangu, nipo nae...www.jamiiforums.com
Kweli nakwambia maana utakuwa unamboa kinoma, ni rahisi kujenga urafiki na wanaume ambao hawamkeri.Hahaha acha hizo Demi
Uko sahihi lakini hujanielewa mie hata kwenye mijadala ya kawaida sitaki aweke umakini kwa mwanamke yoyote huwa nawaza kuwa ningekuwa mwanamke peke yangu hapa chini ya jua akaniona Mimi tu peke yangu, ana baby mama mwenye kisirani Basi natamanigi nikate sehemu ya kibolo kilichomtundika mimba ili kukikomesha😏 simghasi kabisa ila wivu ukipanda nakuwa hivyo😤😤Ingawa mimi mwanaume lakini wewe uko sahihi
Kwanini amtazame mwanamke mbele yako? Kwanini amshike mbele yako? Kwanini amsifie mwanamke mbele yakk?
Kwa mwendo huo mwanamke/mwanaume yeyote atakuwa na wivu tu
Mfano mwanamke wangu kwanini amsifie mwanaume mwingine mbele yangu? Hiyo sio busara, sio kwamba hatuoni wanawake wazuri kuliko wetu na sio wanawake hawaoni wanaume wazuri kuliko sisi lakini busara na akili ni kutoonyesha mbele ya mtu wako
Kuhusu mtoa mada ana utoto tu
ukiona dem una wivu naye sana kutokana na kumpenda likely ujue huyo dem anao huo mpango wa mabwana, na uyo hakufai kwa ndoa, ukija ukimuoa utakuwa na ugonjwa kuliko huo hutafanya jambo lolote la maana wewe itakuwa siku zote unamlinda huyo mwanamke ambaye actually huwezi kumlinda ata nukta 1, ni kujidanganya tu watu watakula tunda tu.Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu.
1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi.
2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya ili kujua anawasliana na wakina nani? Sanaa.
3.Nikiona anaongea na mwanaume au kaongozana na mtu hilo ni tatizo kubwa sana lazima nimuulize wanamazungumzo gani? Baina yao.
4.Lakin yeye anaonesha kuchukizwa sana na vitendo vya kumchunga anasema kuwa kama namwamini basi nimpe uhuru maana ana akili anatambua analofanya jema na baya.
NB: Huyu mwanamke nampenda sana na nahitaji awe mke wangu hapo baadae, ndio maana namchunga sana mazoea na wanaume sitaki sababu huwa wanakula tunda kimasihala.
Nini? Ushauri wenu kwangu mdogo wenu.
Pia soma: Punguza wivu kwenye mahusiano
Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu. Ni mpenzi wangu, nipo nae...www.jamiiforums.com
Bado uko sahihi kwanini aweke umakini kwa mwanaume mwingineUko sahihi lakini hujanielewa mie hata kwenye mijadala ya kawaida sitaki aweke umakini kwa mwanamke yoyote huwa nawaza kuwa ningekuwa mwanamke peke yangu hapa chini ya jua akaniona Mimi tu peke yangu, ana baby mama mwenye kisirani Basi natamanigi nikate sehemu ya kibolo kilichomtundika mimba ili kukikomesha[emoji57] simghasi kabisa ila wivu ukipanda nakuwa hivyo[emoji36][emoji36]
Kwakweli sitaki utani na penzi langu😜😜Bado uko sahihi kwanini aweke umakini kwa mwanaume mwingine
Ukiongea navaa viatu vyako kwamba inakuwaje naongea na mwanamke wangu anaweka umakini kwa mwanaume mwingine[emoji1][emoji1]
Labda kama bado sijakuelewa ila nilichoelewa kutazama mwanamke mwingine sio tatizo ila kuweka umakini hilo tatizo sio wewe tu ni wanawake wengi wako hivyo
Hii miezi ina nnYaan wewe utakuwa umezaliwa kati ya march au April
Wivu 100%Nimezaliwa April