Ushauri, nina wivu uliopitiliza

Ushauri, nina wivu uliopitiliza

Wivu ni mzuri kwenye mapenzi bwana,ila usizidi hadi ukawa kero.
 
Hivi mtu unapata wapi muda na nafasi, kumchunga au kumfuatilia kiumbe mwenye akili na utashi,

Jah aniepushe na hizi kariba, maisha mafupi haya nijipe majukumu mazito km hayo ili iweje khaaaah.

Poleeeeeh sana
 
Kwakweli Sina Cha kukusaidia maana mi mwenyewe ndo walewale, akimtizama mwanamke na nikaona natamani hata kumpofusha huwa namziba macho kwa mikono, akimgusa mwanamke natamani nikate mikono huwa naishia kumvuta mkono, akisifia muonekano wa mwanamke natamani nimfanye bubu lakini namuangalia jicho flani hivi nabadili mada ama namziba mdomo,, nimepatwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh sana lol
 
Back
Top Bottom